Simama wewe sikutongozi

Quinton Canosa

JF-Expert Member
Nov 2, 2012
1,100
2,000
Habari zenu Wanajamii Forum,hivi huu mtindo wa kinadada haka ka mtindo ka kuleta nyodo mkisimamishwa barabarani inakuwa vipi?

Mfano mzuri kuna jamaa yangu alimsimamisha binti njiani kwa madhumuni ya kumuazima pen coz aliiona kaishika lakini yule mdada alimjibu kwa nyodo na kuendelea na safari yake lakini jamani kiukweli alikuwa anahiitaji ile peni aandikie namba ngeni ya simu iliyoingia kwa simu yake si kwa lengo la kumtongoza.

Jamani kina dada sio kila mtu anayekusimamisha barabarani anataka kukutongoza mbona kina kaka wakisimamishwa wa na kina dada wanasimama?acheni hizo bwana.
 

Vaislay

JF-Expert Member
Jun 26, 2011
4,504
2,000
wengine mnakuwa hamna hata cha maana mnachokuwa mnaongea...kwahiyo tunajua ni walewale tu
 

HARUFU

Platinum Member
Jan 21, 2014
28,317
2,000
Ni kweli kabisa mara nyingi ndo wako hivyo mimi kuna siku dada mmoja aliangusha pochi namwita dada kwa sauti amenikaushia hadi nikataja neno pochi ndo akastuka kaja mbio akaseama "asante sana kaka yangu huku ananikumbatia", nikamwambia usiwe na wasi wewe tanua tu, akazidi kunipamba baadae akazama akanipa za msimbazi mbili nikamuambia usijali imetoka wewe pesa yako tia mfukoni.

Akalazimisha hadi kunipa namba ya simu yake huku akiendelea kunipamba usikose kunipigia nikamjibu "ndio nitakupigia" tulivyoachana tu na namba yenyewe nikaitupilia mbali
 

onduru ogy

JF-Expert Member
Feb 8, 2011
1,126
2,000
Wanawake akili zao ziko chini kwenye hilo lishimo lao siyo kichwani.

Ndo maana hata picha wakipiga wanaelekeza huko chini.

In short mwanamke ana akili ya kitandani tu.

KAGONGWA KAHAMA SHINYANGA
 

Ennie

JF-Expert Member
Jan 15, 2011
7,140
2,000
Wanawake akili zao ziko chini kwenye hilo lishimo lao siyo kichwani.

Ndo maana hata picha wakipiga wanaelekeza huko chini.

In short mwanamke ana akili ya kitandani tu.

KAGONGWA KAHAMA SHINYANGA

Namhurumia mwanamke aliyeugulia uchungu wakati unapita kwenye hilo lishimo uingie duniani.
Angejua anachokileta angetumia akili zake za kitandani kukuminya leo usingekuwepo hapa kumtusi!!!
Huna adabu!!
 

Asprin

JF-Expert Member
Mar 8, 2008
61,727
2,000
Wanawake akili zao ziko chini kwenye hilo lishimo lao siyo kichwani.

Ndo maana hata picha wakipiga wanaelekeza huko chini.

In short mwanamke ana akili ya kitandani tu.

KAGONGWA KAHAMA SHINYANGA

Mkuu tuwe na heshima japo kidogo kwa mama zetu.

Mwanaume wa kweli hawezi tukana alipotokea na panapompa utamu.

Adabu haiuzwi dukani.

Ahsanta kwa kunielewa.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom