Mtoboasiri
JF-Expert Member
- Aug 6, 2009
- 5,100
- 1,955
Wajameni, nina jamaa yangu tuliekutana katika shughuli za kikazi (kampuni anakofanyia kazi ni wateja wangu).
Anaishi mbali kiasi na ninapoishi, kwa maana hiyo hatukutani mara kwa mara socially. Jirani na ninapoishi yupo dada mmoja ninaemfahamu slightly (kwa jina na anapofanyia kazi - ni wateja wangu pia).
Hadi jana sikuwa najua kuwa jamaa yangu na huyu dada wana uhusiano wa kimapenzi. Nothing strange in that, lakini kilichonishangaza ni kuwa jamaa yangu anamfahamu mpenziwe dada huyu kwa jina tofauti (jamaa anamfahamu bidada kwa jina la Neema Jackson) na ninalomfahamu mimi na analolitumia mtaani kwetu na kazini kwake (ambalo ni Jamila Rajab)
Kina dada, hivi kwenu nyie jina lina thamani kuliko kipochi manyoya? Yaani umpe mtu papuchi lakini umdanganye jina lako halisi?
Nimetekewa mwenzenu.