Nani anatakiwa kumuandaa mwenzake?

Nani anatakiwa kumuandaa mwenzake?

belie

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2014
Posts
387
Reaction score
261
Hello everybody.

Eti jamani tuulizane na tujuzane yupi kati ya mwanamke na mwanaume anaetakiwa kumuandaa mwenzake kwa mapana zaidi kabla ya kufanya tendo la ndoa? na kwanini haswa?

Maana mpaka nimefikia nauliza swali hili kuna mpenzi wangu wa zamani tumekutana somewhere sasa nikikumbukaga vituko vyake na hili ni mojawapo, yaani yeye ilikuwa tukianza kissing nimshike huku nimshike kule in short yaani mimi ndo nimuandae yeye halafu nikimaliza tuanze kazi, bila yeye kunifanyia chochote wala kujua kama niko tayari au lah.

Sasa embu tuambiane kidogo kuhusu hili nyie mnaona yupi ndio apewe kipaumbele zaidi?
 
Wote inabidi muandaane...lkn kwa mwanaume hatuitaji kuandaliwa saana kama kwa wanawake.

Cha muhimu ni kujua mwenzio anapenda kufanyiwa nini.
 
huyo alitaka kuandaliwa kwa kupigwa ''jeki'' nini?
hata wadada, kuna wanaokuwa tayari hata kabla hujawagusa..!
unakuta ikulu imenyeshewa na hadi paa linavuja..!
wengine inabidi ukeshe ndio angalau utaona unyevu..!
..jifunze mwenzako anataka nini..!
 
Wote kwa pamoja tuandaane c mmoja analala km pono haipendezi .nishike hp nami nikushike pale tufikee ukingoni wotee
 
Aisee...! Mnachotakiwa kujua ni kwamba mapenzi si kushikana tu ni kuanzia maandalizi ya kiakili mpaka mwisho wa safari. Kama mnaelewana vizuri maandalizi huanza hata kabla hamjakaa faragha, the way mnavyoishi kiujumla kuanzia mnapoamka, kuoga, kula, kuvaa, na kila kitu.

Mwisho wa siku mtajikuta hakuna anayeuliza nani amuandae nani au nani aanze! Kwa mfano mmekaa room mnapiga story mkajikuta mmekiss then kila mmoja akamshika mwenzie it means mtakwenda sawa mpaka hata style hamtategeana mtajikuta tu mara huyu yupo juu yupo chini kainama kainuka mwendo mdundo.

Habari za kuanza kuuliza nani amuanze mwenzie au ukahisi kwamba wewe ndo unamwandaa mwenzio hapo ujue kuna walakini na ni dalili za uselfish. Na ndiyo maana mkaachana mana kwa hali hiyo msingefika popote
 
Mimi naona wanawake wengi kwenye picha za pilau ndio huwa wanaanza kula koni, then hapo mbeleni mwanaume anakwenda chumvini, then wana utajua mwenyewe wewe si ni mkubwa mwenzangu
 
aiseeeeeeeeeeeee
 
Hello everybody.

Eti jamani tuulizane na tujuzane yupi kati ya mwanamke na mwanaume
anaetakiwa kumuandaa mwenzake kwa mapana zaidi kabla ya kufanya tendo la
ndoa? na kwanini haswa?

Maana mpaka nimefikia nauliza swali hili kuna mpenzi wangu wa zamani
tumekutana somewhere sasa nikikumbukaga vituko vyake na hili ni
mojawapo, yaani yeye ilikuwa tukianza kissing nimshike huku nimshike
kule in short yaani mimi ndo nimuandae yeye halafu nikimaliza tuanze
kazi, bila yeye kunifanyia chochote wala kujua kama niko tayari au lah.

Sasa embu tuambiane kidogo kuhusu hili nyie mnaona yupi ndio apewe
kipaumbele zaidi?

k u a n d a a n a? embu J.A njo huku useme lolote mm pata kigugumizi
 
Mimi naona wanawake wengi kwenye picha za pilau ndio huwa wanaanza kula koni, then hapo mbeleni mwanaume anakwenda chumvini, then wana utajua mwenyewe wewe si ni mkubwa mwenzangu

wachaaaaaaa
 
Aisee...! Mnachotakiwa kujua ni kwamba mapenzi si kushikana tu ni kuanzia maandalizi ya kiakili mpaka mwisho wa safari. Kama mnaelewana vizuri maandalizi huanza hata kabla hamjakaa faragha, the way mnavyoishi kiujumla kuanzia mnapoamka, kuoga, kula, kuvaa, na kila kitu.

Mwisho wa siku mtajikuta hakuna anayeuliza nani amuandae nani au nani aanze! Kwa mfano mmekaa room mnapiga story mkajikuta mmekiss then kila mmoja akamshika mwenzie it means mtakwenda sawa mpaka hata style hamtategeana mtajikuta tu mara huyu yupo juu yupo chini kainama kainuka mwendo mdundo.

Habari za kuanza kuuliza nani amuanze mwenzie au ukahisi kwamba wewe ndo unamwandaa mwenzio hapo ujue kuna walakini na ni dalili za uselfish. Na ndiyo maana mkaachana mana kwa hali hiyo msingefika popote
hayo ya kweli lakin yule kaka alizid bana, tulikua hatuishi pamoja kila mtu anakaa kivyake so tunakutana weekend tu, na weekend hyo anakua na rafiki zake kibao tunakunywa so hata mda wa kukaa faragha na yeye haupo coz 2kitoka hapo ndo tutaenda somewhr na unakuta anataka nimuandae yeye huku akiwa ka2lia tu..... ndo akawa ananshangaza en unakuta si enjoy kabisa
 
Ndo uselfish ninaosemea!! Huyo jamaa alikuwa selfish sana, thus why mkaachana
 
hayo ya kweli lakin yule kaka alizid bana, tulikua hatuishi pamoja kila mtu anakaa kivyake so tunakutana weekend tu, na weekend hyo anakua na rafiki zake kibao tunakunywa so hata mda wa kukaa faragha na yeye haupo coz 2kitoka hapo ndo tutaenda somewhr na unakuta anataka nimuandae yeye huku akiwa ka2lia tu..... ndo akawa ananshangaza en unakuta si enjoy kabisa
hawezi kufanya mpaka bia?? afu wewe ndo umuandae?? huyo si riziki mama bora uliachana nae.
 
Back
Top Bottom