Mke wangu amepokea email kutoka kwa msichana asiyemfahamu ikisema hivi..
Naomba unisamehe kwasababu sitaki unijue mimi ni nani ndio mana nimefungua email hii mpya ila naomba msaada wa ushauri wako, kuna mtu amemuoa dada yangu na hivi majuzi amenibaka nyumbani na amenisababishia maumivu makali kwasababu nilikuwa bikra, sasa nataka nishtaki kwa mkewe ambae ni dada yangu, nikiangalia upande wa pili naona kama naweza kumuua dada kwa presha pia naangalia upande mwingine mimi nawategemea sana hawa wawili sasa je naomba unishauri njia sahihi ya kufikisha ujumbe bila kuleta madhara kwasababu huyu shemeji yangu bado ananisumbua naona bila kusema ataendelea kunibaka, sasa nakuomba ushauri nifanyaje ili nifikishe ujumbe?
Basi mke wangu baada ya kupata email hiyo kaanza kuwapigia wadogo zake wa kike na kuwalazimisha waseme wao ndio wametuma, mara aanze kuwatukana na mimi nimerudi nikaanza kutukanwa nikaambiwa nimetembea na mdogo wake nikawa sielewi, yani amekuwa kama amechanganyikiwa, kazini ameomba likizo.
Mimi sijui nani ametuma na alikuwa anamlenga nani na sijui imekuwaje mama watoto afikirie hivyo na hii ni mara ya kwanza kwake kunifikiria hivi hatujawahi kuhisiana vibaya hata siku moja.
Ninachoomba wapendwa mnipe ushauri nifanyaje kuokoa ndoa hii na pia nawezaje kujua alietuma email ile.