Wanaume msiumize wanawake kimapenzi be ware of new device

Wanaume msiumize wanawake kimapenzi be ware of new device

deejaywillzz

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2014
Posts
637
Reaction score
224
Kuna kifaa kipya kimetengenezwa South Africa kwa ajili ya wabakaji ni shida, ila nahisi wanawake wengine wanaweza kufanyia matumizi mabaya (Revenge to their men). Ukimuumiza kimapenzi anaweza akavaa kifaa hicho ilimradi akukomoe

insta4.jpg
.... detail zaidi ziko hapa (https://www.facebook.com/kccnfm100/...35259636751/10152347003821752/?type=1&fref=nf)

CC: Kibo10, @brenda18, @Prettinho, @Preta, @mamaafacebook, @Hornet, @nzara, UPOPO, bila kusahau lara 1 na @Evelyn Salt

Unasemaje kuhusu hiki kifaa ?
 
Last edited by a moderator:
tusipowaumiza wao tuwaumize wanaume??????
 
Kinauzwaje........?

Hahaha Preta kinauzwa dola mbili ($2.00). Umeanza kunitisha maana hicho kifaa kiko kama mtego wa panya halafu ndani kina meno kama ya shark, kwahiyo dudu inaingia kiulaini lakini kutoka ni shughuli nzito
 
Last edited by a moderator:
Hahaha Preta kinauzwa dola mbili ($2.00). Umeanza kunitisha maana hicho kifaa kiko kama mtego wa panya halafu ndani kina meno kama ya shark, kwahiyo dudu inaingia kiulaini lakini kutoka ni shughuli nzito

Kwa hiyo kwa maana nyingine ni kimashine cha kunasiana.......?
 
Last edited by a moderator:
Kinatumikaje!mwenzenu sijaelewa kabisa .Mbona kama kipo hivo
 
Kinatumikaje!mwenzenu sijaelewa kabisa .Mbona kama kipo hivo
UPOPO hicho unakitumbukiza kwenye kitu yako kisha ndio unavaa chupi, inakuwa kama umeweka nyoka ndani ya kitu yako kisha mdogo ameuacha wazi mwanaume akikubaka ananasa kila akijaribu kutoa kuna vimeno vina kata kata dudu
 
Last edited by a moderator:
UPOPO hicho unakitumbukiza kwenye kitu yako kisha ndio unavaa chupi, inakuwa kama umeweka nyoka ndani ya kitu yako kisha mdogo ameuacha wazi mwanaume akikubaka ananasa kila akijaribu kutoa kuna vimeno vina kata kata dudu

Nahisi kama kina leta raha vile
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom