Nina mchumba ambae niko nae kwa miaka 4 soon atakua mke maana hata mahari ilishalipwa bado ubwabwa 2 sasa inatakiwa 2kapime ngoma na sijawahi kupima tangu nizaliwe amenambia j3 asubuhi 2kapime kabala ya kwenda job maana siku nyingine hapati mda sababu ya kaz na kukwepa siwezi maana anaki2 kama miez miwili hivi wenye uzoefu inakuje maana kichwa kimeanza kuuma?