Skirt fupi Maofisini

Skirt fupi Maofisini

Quinton Canosa

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2012
Posts
1,228
Reaction score
1,264
Habari za jumapili wana Jamiiforums.

Moja kwa moja nianze kuwaomba dada zangu ambao wanatuvalia vimini ofisini punguzeni au acheni jamani wengine tuna mioyo ya udongo kwa sababu mnapofanya kazi na sisi halafu karibia mapaja yote yapo nje jamani mnatufanya tufanye kazi ambazo hazina ufanisi maana mnatunyima concentration jamani vaeni basi sketi ndefu au kusema sketi fupi inaendana na mambo ya ofisini.

Jamani naombeni wakina miss chagga,evelyn salt, masai dada na wadada wengine mje na mpango wa kuvaa sketi ndefu kwa kushauriana na wengine muwape somo na kaka nyinyi mnavaa jamani acheni wengine jamani tuna mioyo ya petroli.

NB-niliowataja sio kwamba ndio wanavaa sketi fupi, nimewaomba wawashauri wasichana wengine japo mavazi ni uamuzi wa mtu lakini hapana jamani mtuuonee huruma jamani ili tuweze kufanya kazi kwa ufanisi.

NI OMBI TU HILO JAMANI
 
wakivaa jinsi au sketi ndefu itamchelewesha bosi maana bosi ana dk 15 tu za lunch sasa maswala la kuvua tena ni kuchelewesha inatakiwa akiinama tu tayari mzigo uko juu.
 
wakivaa jinsi au sketi ndefu itamchelewesha bosi maana bosi ana dk 15 tu za lunch sasa maswala la kuvua tena ni kuchelewesha inatakiwa akiinama tu tayari mzigo uko juu.

alaaaa,mdau kama sijakupata vile,u mean mabos wanawatafuna akina dada???ambao huvaa vimini???kiulaini????
 
Habari zaa jumapili wana jamii forum
Moja kwa moja nianze kuwaomba dada zangu ambao wanatuvalia vimini ofisini punguzeni au acheni jamani wengine tuna mioyo ya udongo coz mnapofanya kazi na sisi halafu karibia mapaja yote yapo nje jamani mnatufanya tufanye kaziambazo hazina ufanisi maana mnatunyima concentration jamani vaeni basi sketi ndefu au kusema sketi fupi inaendana na mambo ya ofisini????jamani naombeni wakina miss chagga,evelyn salt, masai dada na wadada wengine mje na mpango wa kuvaa sketi ndefu kwa kushauriana na wengine muwape somo na kaka nyinyi mnavaa jamani acheni wengine jamani tuna mioyo ya petroli
NB-niliowataja sio kwamba ndio wanavaa sketi fupi,nimewaomba wawashauri wasichana wengine japo mavazi ni uamuzi wa mtu lakini hapana jamani mtuuonee huruma jamani ili tuweze kufanya kazi kwa ufanisi,NI OMBI TU HILO JAMANI
hizo sehemu mbili nilizokoleza ndo ulipoharibu uzi yaani unawaomba hao wawashauri wengine!!!! kwanini wasishauriwe wao!!
tunabishana nao kila siku wajirekebishe wabishi halafu wewe unataka hao wawafundishe wenzao mkuu umedata nini...
hapo umemsahau tu lara 1 ni wajeuri vibaya cha maana edit hapo juu na uweke kuwa nyinyi dada zangu jirekebisheni
eboooooo!!!!!
 
LOL!,....kweli umezidiwa kuna "jamani" kama 20 hivi kwenye post yako...lol!
 
Kesho nina appoitment niandae kimini changu cha kitenge matata nikamtege huyo boss..
 
Sasa vimini viwe vinavaliwa wapi.........?.......kwa mfano........
 
Unalalamika mno kijana but usijali tutajitahidi kupunguza
 
Picha tafadhali

sec1.jpg

%25255BUNSET%25255D.jpg
 
Back
Top Bottom