tz2015
JF-Expert Member
- Jun 23, 2014
- 982
- 447
Ni rahisi sana kuchunguza tabia za wengine na ukatoa maoni yako juu ya jinsi uwaonavyo, si mara nyingi mtu kujishughulisha kujijua binafsi ana tabia gani hasa upande wa mahusiano.
Nimeona leo niweke kile ninachokiona
Ukitaka kuijua tabia yako uwe ke au me jiangalie unapokuwa peke yako chumbani au sebuleni kile unachopenda kukifanya mwenyewe, hiyo ndo tabia yako halisi mengine ni maigizo.
Anza leo kujichunguza na kisha lete mrejesho
Kazi njema.