Ni mwaka sasa tangu nimekuwa na huyu binti kiufupi nilipomtokea hakusema kuwa ana mtu ila baada ya miezi kama miwili akaniambia kuwa alikuwa na mtu wakati namtokea ila akasema amekwisha mwambia...
Can you date a guy or a gal whom you think is not on your level and still make the relationship work? For example, a blue collar guy dating a woman who is a doctor....
Wadau, sikutaka harusi kwa sasa ila mwanamke analilia hiyo, nimemwambia hali si nzuri anaumia sana.
Sasa,Tshs. milioni 2 inatosha harusi ya namna gani, ndio hela iliyopo.
Wazoefu nipeni...
Suala la kuoa/kuolewa ni wajibu japo si lazima kulingana na maandiko.
Nani ambae ameshafikia/ameshapita umri wa kuoa/kuolewa na hajatamani/hajafikiria kuoa/kuolewa?
Ni heshima kutamani kuzaa na...
Wajameni... Leo naomba tusaidiane kujadili jinsi tunavyowadhalilisha wapenzi wetu in the name of love and protection
Kuna rafiki yangu ana kaugonjwa kabaya sana ka kumnyang'anya mkewe simu na...
wadau
Mimi sio mgeni sana hapa JF ingawa mara nyingi sio mwongeaji sana ila nimejifunza mengi kupitia kijiwe hiki
na kila siku huwa lazima nipite!
Back to topic...
kuna vitu flani nakumbuka...
Poleni na mihangaiko ya mchana kutwa!
Nimebahatika kuona wanaume wengi sana wakiwa na tabia ya kujifanya wana pesa,wamesoma,wana mali,wajanja,wajuaji wa mambo mengi pindi wanapokuwa na wanawake...
Wanawake walioolewa wengi husumbuliwa sana na ujauzito pale unapokuwa mchanga,mfano kuanzia mwezi mmoja hadi minne.
Sababu ya tatizo hilo ni shahawa zinazoingia nje ya mfuko wa uzazi baada ya...
Kweli mapenzi ni kitu kingine kabisa. Mwanafunzi huyo ameamua kujichoma kisu kisa mapenzi. Amekufa jana mchana sababu alijichoma usiku wa kuamkia jana.
==============================
UPDATES...
Being poor is nothing to be ashamed about; it's a dark cloud over your life that's going to float away if you manage your expenses. Avoiding poverty starts with this simple rule: don't spend...
Naanza kwa kujuta sana, kuna kipindi nilienda bank ya posta tawi moja hivi mkoa fulani, nikakutana na binti mmoja mzuri sana wa type yangu, alikuwa anafanya field pale, nikachanganyikiwa...
Wana JF
Ninauzuni sana kuona mmama mmoja anataka kuharibu ndoa yake kwa penzi la shakuwavi.
Ilivyokuwa, jamaa katongoza mwanamke akizania ni demu, siku ya pili (demu) mke akapanga wakutane...
Wanajamii huu uhusiano wa kupendana kupita kiasi, mara honey, baby, apple, mara ukisafiri anaanza kulia, mara muulizane umekula,baby umekula nini, mara ukitoka kazini anakupokea kwa kukubeba...
Wana jamvi naamini mu wazima wa afya.
Nimeolewa miaka nane iliyopita na tumebahatika kupata watoto watatu,tangu nimeolewa hiyo miaka naweza sema nimeishi na mume wangu miaka mitatu,namaanisha...
Wadau unakuta umeoa ila baadae ukaacha kwa sababu mbalimbali, ila ulliyemuacha kapata bwana anayemjali na wamefanikiwa kimaisha kiasi kwamba wewe wakati unasubiri daladala yeye anakupita na...
Habari zenu jamani poleni na majukumu.
Mimi naombeni kuuliza utaratibu wa ustawi wa jamii unakuaje kama unataka baba wa mtoto atunze mtoto je?
1)Vitu gani wanaangalia na inakuwaje?
Samahani...
Ni sawa mke wa mtu kuwa na marafiki wa kiume, kiasi kwamba mwanaume unarudi nyumbani unamkuta mtu sebuleni eti amekuja kupiga stori na mkeo.
Nimekuwa nikijiuliza sipati jibu lakini kingine mtu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.