Usaliti wa mapenzi

Usaliti wa mapenzi

aljun raj

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
203
Reaction score
46
Mambo zenyu wadau? Kiukweli madada sometime maamuzi yenu mnayochukua sio sahihi. Mpenzi wako kama kakusaliti na wewe msaliti sio unachukua Kisu na kujitoboa bana na kuwapa mtihani wazazi wenu.

Mtu unachukua maamuzi ya kujiua kisa Mwanaume au Mwanamke Kwani mmezaliwa wote.

Tujirekebishe wandugu maana kitendo cha kujiua hata shetani mwenyewe hapendelei.
 
Siwez kujaribu kutoa uhai kisa mapenz hata siku moja wanaume wamejaa kibao ya nin nijitangulize kuzimu halaf hulka ya uchepukaji hua ndan ya nafsi ya mtu kwan.kuchepuka lazima??? Siwez shindana na mwanaume hata siku moja kisa kachepuka na mim nchepuke!!
 
hata anayejiua ukimuulza kabla ya kifo chake atakwambia hawez kujiua kwa sababu ya mapenz. Ni shetani tu anapita mara moja unatenda
 
kuna maamuzi mengi sana kabla ya kufikiria kujiua
 
hata anayejiua ukimuulza kabla ya kifo chake atakwambia hawez kujiua kwa sababu ya mapenz. Ni shetani tu anapita mara moja unatenda

Bahat mbaya sinaga ya hivo wala sitkaaa nikajiua kisa mapenz ntakufa kwa rehma.za mungu na.sio mahabbaty
 
akichepuka we tupa kule.. jipe muda utamsahau na utaanza upya
 
Attachments

  • 1413345676864.jpg
    1413345676864.jpg
    82.6 KB · Views: 579
Tukiacha na yule dada aliejipiga kisu cha Tumbo
Jamaa kaaamua kujinyonga kabisa kisa kasalitiwa na demu wake kweli Mapenzi noumer,
 
Attachments

  • 1413346354795.jpg
    1413346354795.jpg
    70.1 KB · Views: 400
Tukiacha na yule dada aliejipiga kisu cha Tumbo
Jamaa kaaamua kujinyonga kabisa kisa kasalitiwa na demu wake kweli Mapenzi noumer,

maisha yalivyo matamu alafu unajiua kisa mtu mliekutana uzeeni.. huu ni ukichaa
 
unajua mtu mpaka akifikie hatua ya kujiua ni kwamba ameona hana thamani kabisa duniani.

We unaona watu wanajiua ajili wameachana
na wapenzi wao, au wanajiua ajili ya mambo ya fedha,
Na wengine ajili ya kazi etc....

lakini hiyo ni hatua ya mwisho.
Huwa mtu anakuwa na ugonjwa unaoitwa "depression"
Hapa nyumbani watu hawauchukulii ugonjwa huu Seriously.

huu ndio ugonjwa unaowafanya watu wanafikia hatua ya kutoa uhai wao.
 
Ni kweli kabisaa unayoyasemaa
 
kuna watu hawajui utamu wa maisha hadi waamue kujinyonga
 
Mi nadhani huwa wanakuwa na mengi hilo la mapenzi llinakuwa mojawapo tu.....
 
Back
Top Bottom