nguvu za kiume

nguvu za kiume

hans2014

Senior Member
Joined
Oct 4, 2014
Posts
112
Reaction score
99
je nguvu za kiume zinapimwa vp?ni pale mwanaume anpokojoa magoli mengi au pale mwanaume anapoweza kukaa zaidi ya dak45 bila kukojoa ili mpenzi wa kike nae aweze kufaidi??
naweka jamvini.......
 
je nguvu za kiume zinapimwa vp?ni pale mwanaume anpokojoa magoli mengi au pale mwanaume anapoweza kukaa zaidi ya dak45 bila kukojoa ili mpenzi wa kike nae aweze kufaidi??
naweka jamvini.......



mkuu usiweke jamvini, hizi mada zimejaa tele humu tatizo, chanzo na tiba utapat search usiwe mvivu
 
Kwani wewe umejionaje haswaaa had ukauliza tuanzie kwako
 
ni pale anapoweza kupiga chuma kwa kutumia uume badala ya mikono...
 
watu8 nane kumbe upo ulikuwa umepotelea wapi! siku nyigi sikuoni humu jamvini

nipo mkuu ni kweli nilipotea hapa jamvini...mishe mishe za maisha zimekaba mkuu
 
Last edited by a moderator:
je nguvu za kiume zinapimwa vp?ni pale mwanaume anpokojoa magoli mengi au pale mwanaume anapoweza kukaa zaidi ya dak45 bila kukojoa ili mpenzi wa kike nae aweze kufaidi??
naweka jamvini.......

Na mimi pia sijui kama wewe ngoja tusubiri majibu kutoka kwa wale walioelewa swali.
 
Qn 1. Define nguvu za

Qn 2. Expain what does the word 'kiume' mean
 
Back
Top Bottom