Niguse Hapa !!

Mwiba

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
7,607
1,744
Ni katika ukumbi wa Mapenzi na hoja mchanganyiko au vipi wadau ? kaazi na dawa :D

Ni tofauti kabisa ,wakati wa makutano utamsikia mwanamke akihimiza umguse sehemu fulani tofauti na sehemu nyeti ambazo hazimo katika mahesabu yake, yaani ukimgusa huwa anajisikia anaruka kabisa katika anga na kujiona yupo dunia nyengine .

Nilipokuwa katika ujana kule shuleni Usagara Secondary ,nilikuwa na kajisichana cha kisambaa kametutumka ,huyo alikuwa mwisho kwa hapo shuleni kwa uzuri na umbo lake ,ila hatukuwahi kufanya jambo kubwa sana ambalo lingepelekea kumharibia na kumtia doa katika maisha yake ya baadae kuelekea ndoa ,just tulikuwa na harakati flaniflani tunapokutana pembeni na hakuna anaetuona au kutuchungulia ,at least we are on the safe place basi ni denda la nguvu tu ndio tukizawadiana ila katika yote utamsikia akisema nimguse sehemu kati ya bega na shingo basi nikimusu hapo huwa hajitambui naweza kusema anakaribia kupoteza fahamu ,siku nyengine huwaga nasituka na kuona atazimia kabisa ,ilinijia pengine ana madudu au mashetani ,ila hurudi katika hali ya kawaida kwa haraka sana na hapo huagana.

Je ni hali gani hizi ambazo sijui kama zinawatokeaga wanawake wengine kuwa sehemu fulani huwa inampa raha inapoguswa bila ya kwenda mbali ?
 
Yeah kila mwanamke ana sehemu ambayo ukimgusa anajisikia raha bila kwenda huko mbali. Hivyo inategemea. Kama ilivyo kwenu wanaume.
 
Wengi wa mademu zetu wa kibongo hawasemi, anauchukua tu mkono wako na kuupeleka eneo husika..........
 
Du! mmenikumbusha mbali sana! miaka hiyo pale Kibosho Girls nilicheza blues na demu mmoja pale. Katika kupapasa mgongo nashtukia mtu analegea mara chini. Ilibidi nizoe mtu wangu tukarudi kukaa kwenye kiti,,,, ndo aliponitanabahisha kuwa ukimkuna mgogo kidogo tu mambo huaribika. Da nilichoka kweli kweli
 
Wengi wa mademu zetu wa kibongo hawasemi, anauchukua tu mkono wako na kuupeleka eneo husika..........

Ni dhahiri kabisa inapofika wanaake wa kibongo hugeuka mabubu ,inakubidi hapo utumie mkono wako kama vile mpiga DUMBAK
 
Wengi wa mademu zetu wa kibongo hawasemi, anauchukua tu mkono wako na kuupeleka eneo husika..........

kwi kwi kwi kwi kwi!!!!! ndio mifumo dume hiyo wanaogopa kusema mtawauliza wamepata wapi uzoefu na kuconclude kuwa malaya hatakama ni kweli
 
Ni dhahiri kabisa inapofika wanaake wa kibongo hugeuka mabubu ,inakubidi hapo utumie mkono wako kama vile mpiga DUMBAK

Dah ,yaani unapapasa tu ,unaweza kusikia apo chipo kaka :D Yaani hii ni elimu kubwa sana ,aisee nilizani ni madudu kumbe mambo yapo ,apo kwenye blues inalingana kabisa na ile iliyokuwa inatokea kwa msichana wa kisambaa ndio hivyohovyo .
 
Wengi wa mademu zetu wa kibongo hawasemi, anauchukua tu mkono wako na kuupeleka eneo husika..........

Inapendeza zaidi akikwambia nishike hapa, nifinye pale nipulize huku ali mradi unakuwa unamfahamu vizuri wapi umguse, umfinye, umpulize ili kuongeza nanino zake ;)
 
Mwiba leo naona kapatwa na maruhani flani.... michapo ya nguvu... ukitaka kujua ni wapi panapowashwa zaidi... we mguse and ulambe lambe mwili wote.... utasikia miguno ikizidi as soon as u hit the hot spots.... lol
 
Yeah kila mwanamke ana sehemu ambayo ukimgusa anajisikia raha bila kwenda huko mbali. Hivyo inategemea. Kama ilivyo kwenu wanaume.

Mi nikigusa tiGo nasisimka mtaniwia radhi msio penda. Hata nikipapasa tu dah raaaaaaaaaaaaaaaaaaha
 
Wengi wa mademu zetu wa kibongo hawasemi, anauchukua tu mkono wako na kuupeleka eneo husika..........

hii inaonesha udhaifu upande wa mwanaume kushindwa ku explore mwili wa mwenzi wake, iwapo una pay attention kwa mwenzi wako na huna papara hauhitaji uambiwe utajua ni wapi panapomkosha mwenzio. i find it so unromantic demu akiniambia niguse hapa napenda kwenda sehemu husika kwa kusoma rythm na body movements.
 
. Ah we acha tu sometimes huwa nahisi kama naadhibiwa.:)

Mj1 umemuelewa Fidel80 anaposema inabidi jamaa awe mtundu na matundu? kwa kifupi anashawishi mjaribu na hilo tundu jingine kama bado hamjafanya hivyo.. LOFL.... Nadhani pia na wewe unasababisha huko kuadhibiwa kwani kama ungemsaidia mwenzako kuufahamu mwili wako usingeteseka. Pia hata wewe mwenyewe unatakiwa kuchukua muda kuusoma mwili wako unaweza kuanza tu kwa kuvua nguo zote kisha ukawa unajiangalia kwenye kioo in time jaribu utundu wa kujichezea sehemu mbalimbali za mwili wako utaipata tu sehemu yako ya miujiza. Umenifanya nipate interest ya kujua maisha yako ya ngono kwani mtu kutokufahamu sehemu yake ya miujiza ni suala linalohitaji kuangaliwa kwa kina kidogo..Vipi nikuulize maswali mawili matatu ya maisha yako ya ngono?
 
Back
Top Bottom