Upweke huu ni shida

Upweke huu ni shida

We ni he au she?

Upweke wa job nimemwelewa.......
Wa love........love zote hizi zinamwagikia chini........anakosaje.......?.......hawa watoto bana........
 
Vumilia ndugu mpaka upate kazi kwanza,kama we ni Me utaiwezaje love bila fedha?
na kama wewe ni ke ukijiingiza kwenye mapenzi ndo utampiga mizinga mwenzio mpaka akukimbie
na utakuja huku kutwambia umetendwa.
Nakushauri usubiri kama wenzio tulisubiri,afu kama umesoma pitia media zinazotoa matangazo ya kazi
omba kazi mara kwa mara ikiwezekana kila week tuma application moja.Fikiria kujitolea kwenye ofisi zenye huduma ya taaluma yako huku ukisubiria ajira,siku moja utatoka.
 
Upweke wa job nimemwelewa.......
Wa love........love zote hizi zinamwagikia chini........anakosaje.......?.......hawa watoto bana........

Tukishajua jinsia yake tutajua namna ya kumtoa upweke....
 
Hivi siku hizi unatibu na upweke? Teh teh
Kin'asti hiyo avatar yako imekaa poa japo unatulenga shabaha,ile ya mwanzo dah,nilikuwa nikiiona na mavazi ya kijeda nawaza kuogeshwa maji machafu barabarani napita mbio.
 
Last edited by a moderator:
Umewasahau walinzi wa kanali gaddafi
Kin'asti hiyo avatar yako imekaa poa japo unatulenga shabaha,ile ya mwanzo dah,nilikuwa nikiiona na mavazi ya kijeda nawaza kuogeshwa maji machafu barabarani napita mbio.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom