Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Nipo kwenye kozi inayoitwa The concept of plural marriage and fair treatment of co-wives na ninatakiwa kufanya presentation mbele ya panel wiki mbili zijazo. So maoni ya wadau hapa ni ya mhimu ili...
1 Reactions
275 Replies
33K Views
Kusema kweli mimi huwa navutiwa sana na wanawake wanaovaa madira kuliko hawa wanaovaa visuruali vya kubana au visketi vifupi. Mwanamke na hasa umkute ana shepu halafu akuvalie dira, wallahi...
6 Reactions
127 Replies
27K Views
Hiki kisa kimetokea huko Tabora ambapo michepuko wawili ambao ni wanandoa wamekutwa na ngoma huku wenza wao wakiwa wazima kisa kilianza hivi; Mchepukaji wa kike alibebeshwa mimba na mchepuko...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakati nipo secondary school kulikuwa na dada mmoja hivi.huyo dada kusema ukweli alikuwa havutii kabisa,alikuwa mbaya wa sura hadi shape yani hilo bichwa mchogo unautazamia kule, sura ndiyo...
0 Reactions
25 Replies
5K Views
Habari waungwana, naomba kusaidiwa kimawazo nifanye nini katika hili. Nina mchumba wangu ambaye tumekuwa katika mahusiano kwa takribani miaka miwili na nusu, japo sijawahi kujitambulisha kwao...
0 Reactions
192 Replies
24K Views
Mwanamke mmoja mwenye watoto watatu katika wilaya ya kole nchini Uganda alimuandalia mumewe mlo wa mipira ya kondomu kufuatia ugomvi usiokwisha. Mwanamke huyo ambaye ni mkaazi wa eneo la Arao...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Sometimes ni kujidhalilisha tu. Unamkuta mdada au mmama kavaa nguo fupi kupitiliza halafu kila saa anahangaika kuipandisha halafu akikaa lazima afunike na waleti au mkoba. Sasa kama umeamua...
5 Reactions
31 Replies
7K Views
Heshima kwenu. Kwa wale mnaokumbuka katikati ya mwaka jana nilijitokeza hapa kuomba ushauri baada ya kugundua mchumba niliyetaka kumoa ana uhusiano na baba yake mzazi. Kutokana na story...
2 Reactions
51 Replies
6K Views
Habari za jioni. Straight to the point , leo asubuhi mnamo mida ya saa nne unusu kuna shostito angu alikuja kuniomba nimsindikize town. Alikuwa anaenda kununua baadhi ya vitu kwa ajiri ya...
1 Reactions
75 Replies
7K Views
Mwanaume yuko busy kubadilisha password kwenye simu yake kila siku endapo akijua mkewe ameshaijua hiyo password. Anakuwa mkali hataki mkewe aguse simu yake kwa madai hapendi kupekuliwa hata kama...
0 Reactions
26 Replies
6K Views
Habari wana MMU Kilichonirejesha ni maajabu ya ulimwengu. Rafiki yangu kaolewa na kila anapokutana na mumewe ata wafanyeje askii raha wala hafiki kileleni ila akijichezea mwenyewe anaweza lia...
0 Reactions
52 Replies
5K Views
Mume wa mtu, Raphael Bernard (33) aliyechomana visu na mwalimu baada ya fumanizi. Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo, msala huo ulijiri juzikati nyumbani kwa ticha huyo, Kichangani ambapo...
0 Reactions
23 Replies
6K Views
Imekuwa ni kawaida kwa baadhi ya wanaume wakioa hawapendi wake zao kufanya shughuli yeyote ya kuingiza kipato. Kwa mtizamo wangu Kama mwanaume kazi yako inakupa tu kipato kwa ajili ya kula may be...
9 Reactions
64 Replies
10K Views
Habari zenu wana jamvi. Mwenzenu nasikitika toka siku ya jana sina furaha kabisa, na hata usiku nimeshindwa kulala sina furaha, na hata muda huu naandika sina furaha wala amani moyoni mwangu...
1 Reactions
43 Replies
6K Views
Wapendwa. Kasie mie, sina hamu na sandwich lady. Kuna mkaka mmoja tulikutana training mwaka jana, ilikuwa training ya wiki 2, that kaka alionesha sign zote za kunidondokea ila hakusema neno hadi...
1 Reactions
114 Replies
7K Views
Wakubwa zangu shikamooni!!!!!!!!! IGWEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!! Guest: @Gifsonwin Host: Lara 1 Topic: Mambo mazito ya Ndoa Happy new years wadau!!!!! Sitiii neno! Ticha in the...
14 Reactions
233 Replies
16K Views
Aliye tayari anipm
0 Reactions
2 Replies
811 Views
Nimekuwa nikipitia hili jukwaa la usiano, marafiki na mapenzi yaani mtu akipost uzi wake hapa watakuja watu kutoka huko kusikojulikana wakiomba takwimu na mambo mengne mengi. Kama vile hili ni...
1 Reactions
5 Replies
920 Views
nimejaribu kufanya uchunguzi nimegundua kuwa wanawake wakishafikisha umri miaka 30 na kuendelea wanakuwa mabonge, hebu wanabaiolojia watupe habari kamili kwanini wanakuwa bonge nyanya
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Jamanery naombeni ushauri,,, nimsaidie huyu rafiki yangu,,,,, ni mjamzito na yuko chuo mwaka wa kwanza,,,,, mwanzni alitaka kuitoa,, mwenza wake akakataa,,,, yeye sababu nzake ni anahôfia kwao na...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…