Ama kweli, hakuna mwanamke mbaya

Ama kweli, hakuna mwanamke mbaya

mutant gene

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
876
Reaction score
326
Wakati nipo secondary school kulikuwa na dada mmoja hivi.huyo dada kusema ukweli alikuwa havutii kabisa,alikuwa mbaya wa sura hadi shape yani hilo bichwa mchogo unautazamia kule, sura ndiyo usiseme, mchafu mchafu hivi.

Kama mnavyojua milima haikutani ila binadamu hukutana. Jana nimebahatika kukutana naye. aisee, dada amekuwa mrembo huyo yani amekuwa na shape ile anayopenda shekh kipozeo. amekuwa ana mvuto wa ajabu, kuanzia sura mpaka shape.

Aisee nilipigwa na butwaa takriban robo saa hivi amebadilika sana, kweli duniani hakuna mwanamke mbaya.

Kwa uumbaji huu, mwacheni Mungu aitwe Mungu wallah.
 
Hakuna kitu kinachonikera kama kumchambua mwenzako.
Et mbaya, bichwa hil. Huo ni ujinga aliyekwambia ww ni mzur ni nani?
Unaukosoa uumbaji wa Mungu?

Kweli hasa kwa umri huu...bt those foolish age ulikuwa ni kawaida kumjaji mtu due to muonekano as boyz need cute galz and galz need good looking guyz..
 
Wakati nipo
secondary school kulikuwa na dada mmoja hivi.huyo dada kusema ukweli
alikuwa havutii kabisa,alikuwa mbaya wa sura hadi shape yani hilo bichwa
mchogo unautazamia kule, sura ndiyo usiseme, mchafu mchafu hivi.

Kama mnavyojua milima haikutani ila binadamu hukutana. Jana nimebahatika
kukutana naye. aisee, dada amekuwa mrembo huyo yani amekuwa na shape
ile anayopenda shekh kipozeo. amekuwa ana mvuto wa ajabu, kuanzia sura
mpaka shape.

Aisee nilipigwa na butwaa takriban robo saa hivi amebadilika sana, kweli
duniani hakuna mwanamke mbaya.

Kwa uumbaji huu, mwacheni Mungu aitwe Mungu wallah.

fweza babu! mungu akunyime vingine ila si fweza
 
Usidharau uwezo wa make up set mkuu,akiamka asubuhi utapata better view.

Atukuzwe Mola aliye mbora wa waumbaji.
 
Back
Top Bottom