queenlishas
JF-Expert Member
- May 25, 2014
- 288
- 76
Habari wana MMU
Kilichonirejesha ni maajabu ya ulimwengu.
Rafiki yangu kaolewa na kila anapokutana na mumewe ata wafanyeje askii raha wala hafiki kileleni ila akijichezea mwenyewe anaweza lia kwa utamu.
Ni ugonjwa au mumewe hajajua sehemu ya kumliza?
Kaja kwangu nikaona ni tatizo, nawasilisha mada kwa wajumbe wa jumba hili.