Nilichokiomba nimekipata lakini

Nilichokiomba nimekipata lakini

Fundifundisho

Member
Joined
Jan 11, 2011
Posts
77
Reaction score
18
Heshima kwenu.
Kwa wale mnaokumbuka katikati ya mwaka jana nilijitokeza hapa kuomba ushauri baada ya kugundua mchumba niliyetaka kumoa ana uhusiano na baba yake mzazi.

Kutokana na story ilivyokuwa wengi walinishauri kuachana na binti huyo.

Ingawa nilimpenda sana niliamua kumwacha na mpaka sasa nshazoea,
Nimekaa miezi kadhaa bila kuwa na mahusiano na binti yeyote.

Nilijenga imani kwamba pengine nikipata binti ambaye bado bikira(hajaguswa) ndiye atanifaa kuoa,
Inaendelea.
 
heshima kwenu..!
kwa wale mnaokumbuka katikati ya mwaka jana nilijitokeza hapa kuomba ushauri baada ya kugundua mchumba niliyetaka kumwoa ana uhusiano na baba yake mzazi!
kutokana na story ilivyokuwa wengi walinishauri kuachana na binti huyo.

Inaendelea..............

page gani?
 
Mwisho wa mwaka nilitokea kumpenda binti mmoja ambaye baada ya kupeleleza nilipata fununu kwamba ni bikira.
kwa kuwa alishamaliza masomo nilianza harakati za kumfukuzia na kufikia siku ya mkesha wa mwaka mpya nilifanikiwa kuwa naye gheto na kweli nilimkuta hajaguswa mi ndo nkafungua shampeni!
kwa kuwa nilikusudia kuoa nilimwelza msimamo wangu na kwamba najiandaa kwenda kwao.
cha ajabu jana nikapata tarifa kwamba kuna jamaa yuko naye gest anamgegeda!
Inaendelea........
 
heshima kwenu..!
kwa wale mnaokumbuka katikati ya mwaka jana nilijitokeza hapa kuomba ushauri baada ya kugundua mchumba niliyetaka kumwoa ana uhusiano na baba yake mzazi!
kutokana na story ilivyokuwa wengi walinishauri kuachana na binti huyo.
Ingawa nilimpenda sana niliamua kumwacha na mpaka sasa nshazoea,
Nimekaa miezi kadhaa bila kuwa na mahusiano na binti yeyote.
Nilijenga imani kwamba pengine nikipata binti ambaye bado bikira(hajaguswa) ndiye atanifaa kuoa,
Inaendelea..............

Huwezi kupata msichana bikira kama hata hili dogo huwezi kulifanya kwa utimilifu. Hata ukipata baba ake atamchukua tena
 
binti kutembea na dingi yake siku hizi mbona kama kawa!! hata mimi x-galfrnd wangu aliwahi kufunguka mwenyewe ndo vile!!
 
Mmmh.... Hadithi njooo.....!!
 
Leo nimemwita na kumuuliza kuhusu tuhuma hizo akakana! lakini nikamtishia kwamba kama asiponieleza ukweli ntamwacha.
Baada ya mkwara huo binti alianza kulia huku akipiga magoti na kuomba msamaha!
Anasema ni kweli amenisaliti na jamaa aliyekuwa na uhusiano naye tangu shule ingawa hawakuwahi kusex kabla..
binti anasema hayuko tayari kuachana na mimi kwani mimi ndiye nimeondoa bikira yake!
anasema yuko tayari kumwacha jamaa na hatonisaliti tena!
Niko njia panda,
je nimwamini au nimpotezee?
 
utawapotezea wangapi ndugu yangu dunia hii ishaharibika kwanza sidhani kama ulikumbuka kucheki afya we na bikira wako huyo,we samehe ulisongeshe gurudumu lasivyo utaambulia magonjwa kwa kutafuta aliye mkamilifu, jitahidi kumdadisi isije kua huyo jamaa ndo wa moyoni ila ameona kwako kuna maponeo ndo maana anakung'ang'ania.
 
Naona kuna nyendo za Mjeda na Masanja hapa,hivi vipande vipande vya nn??
 
umpotezee kwani weye BIKRA???
Kugegeda na kugegedana ni kitu cha kawaida sana...kama anajitambua beba tu zigo ingiza ndani........
 
Hii ni hadithi kama zile za mjeda CHAI CHUNGU? Maana sielewi mara itaendelea.....
 
Last edited by a moderator:
Wewe endelea nae nae huyo atakuwa sex partner wake wewe ndo mwenyewe mwenye mali mume mtarajiwa.
Ndo maisha ya mjini hapa wa peke yako utamtoa wapi???
Ukiona hafai muumbe wa kwako.
Utaacha wangapi???
 
Leo nimemwita na kumuuliza kuhusu tuhuma hizo akakana! lakini nikamtishia kwamba kama asiponieleza ukweli ntamwacha.
Baada ya mkwara huo binti alianza kulia huku akipiga magoti na kuomba msamaha!
Anasema ni kweli amenisaliti na jamaa aliyekuwa na uhusiano naye tangu shule ingawa hawakuwahi kusex kabla..
binti anasema hayuko tayari kuachana na mimi kwani mimi ndiye nimeondoa bikira yake!
anasema yuko tayari kumwacha jamaa na hatonisaliti tena!
Niko njia panda,
je nimwamini au nimpotezee?

Mjeda kaharibu kwa staili yake aliyotumia hapa jukwaani!!! Nadhani hapa ndiyo mwisho wa story au???

Back to the point, binti ambaye ni bikra kwa interval uliyosema ni ngumu kukusaliti. Ni lazima angekuwa ana mawazo ya tendo la siku ya kwanza na angekuwa na mawenge sana na penzi lako.

Labda upelelezi wako ulikuwa feki na huyo demu akapretent!!!

Achana nae maana si muaminifu.
 
Last edited by a moderator:
Kaa nae mweleze ni jinsi gani unavyompenda na target zako kwake naamini atkuelewa na kutulia na wewe ulikuwa wapi mpaka mzigo unaliwa,chunga mali zako bana
 
Hii ni hadithi kama zile za mjeda CHAI CHUNGU? Maana sielewi mara itaendelea.....

huu mwaka 2013,jf kuna mengi!
Inaendelea......... Ndo freestyle!! Utasikia Lulu ametoka gerezani
Inaendelea....
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom