Anita Baby
JF-Expert Member
- Oct 2, 2011
- 1,264
- 542
Sometimes ni kujidhalilisha tu.
Unamkuta mdada au mmama kavaa nguo fupi kupitiliza halafu kila saa anahangaika kuipandisha halafu akikaa lazima afunike na waleti au mkoba. Sasa kama umeamua kuonesha alichokupa mama we achia tu.
Unaficha ficha nini? Kuna wengne mashallah mungu kawajalia sexy body umbo la ukweli akivaa hivyo anavutiaje.
Upande wa pili wenzangu na mimi wale nyuma na mbele kote sawa halafu unajibana kinguo kimekuchora hadi unachukiza.
Wale matukunyema sasa mimi sisemi, kwa ufupi vaa nguo kulingana na umbo lako. Halafu wakina kaka na nyie sijawasahau suruali modo zinapendeza lakini nyingine zimezidi.
Halafu unakuta mtu mwenyewe mnene juu chini mwembamba au hapo kati ana kitu cha maana basi fulu kujichoresha.
Atakayechukia pole, utakaefanyia kazi hongera na utakaenitukana yakurudie mara elfu najua binadamu hatutaki kuambiwa ukweli lkn sometimes inabidi.