Mwanaume yuko busy kubadilisha password kwenye simu yake kila siku endapo akijua mkewe ameshaijua hiyo password.
Anakuwa mkali hataki mkewe aguse simu yake kwa madai hapendi kupekuliwa hata kama mwanamke hapekui kabisa na wala hafikirii.
Tena ana wivu kwa mkewe vibaya sana hataki mkewe apigiwe simu ovyo wala haendi kwa marafiki au hata ndugu bila yeye kuwepo kwenye hiyo safari.
Je ni kawaida kwa wanaume wote au?
Rafiki yangu yamemkuta hayo, wajuzi msaidieni me peke yangu nimeshindwa.