Ndo kikoje hichoDuuu, haya kaka, na nyie wakàka wadogo na vitambi michuchumio jee?
nimejaribu kufanya uchunguzi nimegundua kuwa wanawake wakishafikisha umri miaka 30 na kuendelea wanakuwa mabonge, hebu wanabaiolojia watupe habari kamili kwanini wanakuwa bonge nyanya