Hiki kisa kimetokea huko Tabora ambapo michepuko wawili ambao ni wanandoa wamekutwa na ngoma huku wenza wao wakiwa wazima kisa kilianza hivi;
Mchepukaji wa kike alibebeshwa mimba na mchepuko akamwambia mme wake wakaenda clinic kupima mwanamme akakutwa safi mwanamke mchepukaji anao, ndipo alipobanwa na kumtaja mchepukaji mwenzake ambae nae baada ya kupima anao ila mke wake hana imebaki mshangao kwamba inawezekana ni pigo toka kwa Mungu.