Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Jana mama watoto wangu kapata mapacha kwa mara nyingine tena, mapacha wa kwanza walizaliwa tarehe 20/04/2012 wa kike mmoja na wakiume mmoja na tena jana vivo hivyo wa kike mmoja na wa kiume...
6 Reactions
35 Replies
4K Views
Katika hali isiyokuwa ya kawaida dreva yebo anayeishi kitongoji cha mjimwema amenasana na mke wa mtu anayeishi maeneo ya matarawe. Walikutwa wamenasana katika guest moja iliyopo eneo la...
3 Reactions
63 Replies
13K Views
Jana nilikuwa safarini kuja Kibondo kwa bibi kama nilivyo eleza lengo langu sio kuua japo bibi alinipa option 1, Kuua 2, Kutengua ndoa 3, Kumfanya awe anisi 4, Asiowe katika maisha yake yote kila...
0 Reactions
61 Replies
7K Views
I hope u guys are all good. Jamani am fed up with these men wanaokuja ofisini na mahasira sijui wanatoka nayo wapi. Hivi mnajua ni kiasi gani mnatuumiza wenzenu na ukiangalia sisi ni kama...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Msanii wa muziki wa Kizazi Kipya kutoka Kundi la Fagio la Chuma, Hafsa Ally akielezea mkasa uliomsibu kwa waandishi wa Global. Akizungumza na gazeti hili wikiendi iliyopita, Hafsa alisema tukio...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wana Jamiiforums hususani wa kona hii MMU kuna kijiji ishu fulani hivi sijui niite ni tatizo au vp, naomba nilielezee kidogo. Miaka kama minne iliyopita wife alipata ujauzito na ulipokuwa kabisa...
1 Reactions
28 Replies
4K Views
Kwenda kuoa ,nikikaa peke yangu huwa nawaza na kufikiri juu ya siku hii kuu ambayo inabidi niipite ,tatizo mimi situmii,kilevi wala tumbaku, ni vinywaji baridi tu. Sijui mliokwishatutangulia...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Ni ukweli ulio wazi wanawake wanahitaji pesa wanaume wanahitaji kugegeda, kwenye mapenzi dhana ya upendo ni ya kufikirika tu wanawake wanalalamika wanaume ni wasaliti hawana mapenzi ya kweli na...
0 Reactions
61 Replies
6K Views
Siku hizi sijui ndio swagger au vipi unakuta kila msichana yupo bize na kubofya simu. Huu mimi naona ni ushamba wa hali ya juu, yani wewe unadhani ukiwa bize na simu ndio usista duu au?sana sana...
3 Reactions
83 Replies
10K Views
Habar zenu wapendwa, jamani mimi kuna jambo lanitatiza ni kuhusu hii ndoa ambayo naishuhudia kutetereka kwake kama sio kufa kabisa ni hivi; miaka kadhaa iliyopita walifunga ndoa lakini...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Kuna huyu dogo ambaye ni mdogo wa rafiki yangu kipenzi. kuna kipindi niliwahi kumtokea akanipotezea. nikaona isewe tabu nikaachana naye. Sasa kitu ambacho sielewi ni wivu uliopitiliza juu ya huyu...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Amini au usiamini wadada wenye ile miguu iliyopinda matege na wale wenye miguu iliyoingia ndani magobwe wanahitaji mahari kubwa sana kuwawowa ,nadhani hili ilikuwa hamlijui ,ndio raha ya JF ,na...
0 Reactions
23 Replies
5K Views
Fomu toka kwa "BABA MKWE" mtarajiwa. FOMU YA MAOMBI YA KUMUOA BINTI YANGU. KIJANA MLENGWA, JAZA FOMU HII KWA MWANDIKO WAKO MWENYEWE NA KWA HERUFI KUBWA. Mimi ......................., natuma...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wana MMU Katika pita pita zangu nilikutana na jambo nikajifunza kitu pengine huu ulikuwa mtazamo wangu hivyo ningependa kujua mitazamo ya wengine.Mtanisamehe kama nitachanganya lugha lakini...
10 Reactions
61 Replies
6K Views
naanza mjadala wangu kwa kutanguliza maneno haya kwenye biblia maana ndio kitabu ninachokiamini ingawa sikifuati kwa asilimia nyingi -ataye mke amepata kitu chema na anapata kibali mbele za...
1 Reactions
2 Replies
4K Views
Nikweli condom zinazuia ukimwi????
0 Reactions
2 Replies
720 Views
Ndugu zangu naomba usaidizi, najua kuna wale wataikejeli shida yangu lakini nina imani kunae atakae elewa uchungu ninao moyoni, nina mpenzi wangu tulopendana sana, miezi ilopita mpenzi kaniita...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Ukiona Mwanamke ni Mzuri Sanaaaa,yaani SURA KALI....SHEPU HILOOO...MIGUU YA UKWELI..AMESOMA VIZURI..Yaani unahisi kama KAPENDELEWA KILA KITU jua kuna kitu kimoja tu somewhere hakiko...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Sijui ndo maendeleo ama kitu gani hapa. . ¡°Shocking images out of a classroom in Nebraska[we are told in a controversial new article] illustrate how 11-12 year olds in 6th grade are being taught...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Salam kwa wana jamvi wote. Napenda kutoa funzo moja hapa! Ila sio msimulizi mzuri sana lakini naamini nitaeleweka tu. Mimi na rafiki yangu ambaye tumekuwa marafiki baada ya kuajiriwa siku moja...
5 Reactions
243 Replies
28K Views
Back
Top Bottom