Wanawake: Usalama wa vifaa vya kutengenezea kucha

CharmingLady

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2012
Posts
18,304
Reaction score
12,999
Habari za leo mabibi na mabwana.

Huwa najiuliza kuwa, vile vifaa ambavyo vinatumiwa na watengeneza/wasafisha kucha vina usalama kiasi gani? Maanake huwa vinatumiwa na watu wengi na sijawahi kuona kama wana sterilise (chemsha) machine.

Karibuni kwa michango na mawazo.

Wasalaam,

CL.
 
Bora kuwa na vyako........ikibidi jifunze kujitengeneza mwenyewe..........
 
DSC09414.JPG
 
Bora kuwa na vyako........ikibidi jifunze kujitengeneza mwenyewe..........

Ngoja nitafute mtu spesho wa kunitengeneza.... Mamito kazi zingine zinahitaji kipaji ati!!!!!!!!!! :cheer2: :cheer2:
 
Habari za leo mabibi na mabwana.

Huwa najiuliza kuwa, vile vifaa ambavyo vinatumiwa na watengeneza/wasafisha kucha vina usalama kiasi gani? Maanake huwa vinatumiwa na watu wengi na sijawahi kuona kama wana sterilise (chemsha) machine.

Karibuni kwa michango na mawazo.

Wasalaam,

CL.
kuna studies zimefanyika na kutibitisha kwamba baadi ya watu wamepata ukimwi kwa manicure na pedicure

jengeni tabia ya kuwa na vifaa vyenu wenyewe
 
Akikaa vibaya,anachunguliwa kunako!Huwa siwapendi hawa jamaa,anaweza kumzoea Mrembo wako aka:busu hivi hivi
 
kuna studies zimefanyika na kutibitisha kwamba baadi ya watu wamepata ukimwi kwa manicure na pedicure

jengeni tabia ya kuwa na vifaa vyenu wenyewe

Uwwiiii... usinisababishe niishi kwa hofu tobaaa!!!
 
Back
Top Bottom