Eliezar Mlwafu
JF-Expert Member
- Jan 27, 2013
- 449
- 140
Usiku huu ni kama bahasha iliyofungwa hakuna anayejua ndani kuna nini, jikabidhi kwa Mungu maana yeye anajua yote. Usiache kufanya maombi kabla hujalala maana usiku wakati umelala maadui wanafanya ibada zao katika mapito yako. Lakini pia uamkapo fanya maombi maana maadui hawapendi uanze siku nyingine salama. Mungu akuepushie balaa na mikosi ya kila aina. Azitimize ndoto zako.
UCKU MWEMA.
UCKU MWEMA.