JEKI
JF-Expert Member
- Aug 16, 2013
- 4,845
- 2,968
Jana mchumba akaniomba nimnunulie kitu fulani hivi, ni cha bei kali, nilitaka kusita ila nikawaza sana, nikakumbuka nimehonga kiasi gani kwa wanawake baki tu, kisha nikajisemea nimehonga vingapi bana, itakuwa kwa mchumba wangu, nikafungua wallet na kumkatia mkwanja.
Hivyo basi kwa namna hii wewe mme, wewe mke hebu jiulize umewafanyia mangapi watu baki tu, itakuwa kwa mmeo/mkeo?
Hivyo basi kwa namna hii wewe mme, wewe mke hebu jiulize umewafanyia mangapi watu baki tu, itakuwa kwa mmeo/mkeo?