Tumechoka kusemwa humu ndani jamani

Tumechoka kusemwa humu ndani jamani

mdida

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2011
Posts
1,607
Reaction score
777
Kuanzia leo wanawake wote humu MMU tuungane kususia kuchangia thread zinazotugusa, humu maana kila siku thread zote ni kuhusu wanawake (mama zao, shangazi zao, watoto wao wa kike,) kwa uchungu nilionao juuya hili jambo.

Ninawaomba wanawake wenzangu kususia thread zote zitakazokuwa zinawagusa wanawake kwa muda wa mwezi mmoja.

Yaani huo mwezi ukiisha msipojirekebisha tunaondoka kabisa.

Toeni maoni yenu tufanyeje ili hawa viumbe watutoe midomoni mwao.

Au tuwarudishe tumboni tulimowatoa?

Karibu
Ladies tujadili.
 
Shy land kapita hapa., nilikuwa nataka kusema kitu, ila subiri niache tu.
 
Last edited by a moderator:
Niubake uzi lakn sahamani ladies kama nitawakosesha raha!

Lengo kuu la jf, kubandilisha mawazo, kujifunza, na kujadili mambo mbali mbali ya kijamii, kiuchumi kisiasa na kiutamanduni,

vileve jf ipo kwa ajili ya kuonya ,kuasa na kukosoa yale mabaya yanayofanyika katika jamii zetu.

lengo la jf siyo kujudge kundi fulani, la kidini, kijinsia, kikabila n.k .

kwa nyie wanawake ni kweli mnaongoza kusemwa hasa mmu. basi kama mnataka msisemwe sana, munatakiwa kuyaacha yale mabaya, maovu na makosa mnayoyafanya katika jamii zetu

mwanawake mmu naweza kuwafanyanisha na ccm katika jukwaa la siasa
nadhani unajua mabaya yanayofanywa na ccm katika jamii.
 
wewe ni ke?
 
Wewe hufanyagi mabaya?
Hiyo style yako ndo unaita kuonya?
 
Afu kwani wanawake tu wananya makosa? nauliza tu, tumechoka.

nawaomba tumieni lugha zuri tu, kila mmoja nitamjibu.

katika jamii zetu wanawake ndio wamekuwa waovu kuliko wanaume kuna sababu nyingi sinazowasababisha kuwa hivyo! ikiwemo na wanawake wengi ni wepesi wa kushawishika mapema kuliko wanaume!
 
Hii thread ni wanawake tu sasa sijui unataka nini mkuu. Waache waamke waje maana mnatuonea sana tune tutakavyojipanga na haya mashambulizi yenu dhidi yetu kila siku.
 
Mimi mtu akinichokoza kumkalia kimya huwa siwezi sijui kwa nini
 
Kuanzia leo wanawake wote humu MMU tuungane kususia kuchangia thread zinazotugusa, humu maana kila siku thread zote ni kuhusu wanawake (mama zao, shangazi zao, watoto wao wa kike,) kwa uchungu nilionao juuya hili jambo. Ninawaomba wanawake wenzangu kususia thread zote zitakazokuwazinawagusa wanawake kwa muda wa mwezi mmoja. Yaani huo mwezi ukiishamsipojirekebisha tunaondoka kabisa. Toenimaoni yenu tufanyeje ili hawa viumbe watutoe midomoni mwao. Au tuwarudishetumboni tulimowatoa? Karibu Ladies tujadili. Ni kwa wanawake tu.

Kila mtu ana haki ya kuzungumza na kukosolewa hama kusifiwa. Sidhani kama wanawake wengine watasapoti hili.
 
Natarajia kuwaona wanawake hawa kwenye huu UZI

#TEAM_bwawa
#TEAM_kujichubua
#TEAM_wauzaK
#TEAM_flatscreen
#TEAM_mizinga
#TEAM_watembea uchi
#TEAM_artificial

Anyway tutaishi na nyie hivyohivyo na hatoki mtu hapa

Hapo nawatetea #teamBwawa , #teamFlatscreen coz ni maumbile...the rest wakisemwa wajirekebishe.

Sasa kama hata church mtu anaenda nusu uchi, waache kukusema?
Sura yako na rangi nzuri Mungu amekupa lakini saivi una rangi nne tofauti mwilini, tuache kukusema?
Umefanya K chanzo cha kipato mjini, hutaacha kusemwa..lol
 
Maneno mkuki hekima Ngao- Fid q

Maneno ni sumu, sumu balaa - Ditto

Mii nasubiri conclusion yenu!
 
Mkizingua mtasemwa tu,hakuna jinsi

Nami nasema msemwe tu ,tumechoka!!.
 
Naona kuna "WENZETU" nao uzi umewagusa wanachangia.
Tusiwabague maana wameshajikana na kuwa "WENZETU"
 
kuna watu wanajua kuudhi...khaaa.
Wanawake ndio mama zenu, dada zenu, shangazi zenu etc.
Nashindwa hata kutolea mfano moja wapo maana itakuuma

Wanaume ndio baba zenu, kaka zenu, wajomba zenu. Fahamu na hilo pia.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom