Suala la uchepukaji limekuwa haliepukiki na limekuwa changamoto kwa watu wengi. Sishauri sana ila kama imekulazimu kuchepuka chukua tahadhari zifuatazo uwe salama;
1.Uwazi: Uwe wazi kwa huyo...
Helo wandugu. Ninaomba ushauri.
Nimeoa na mke wangu ni wa Pwani. Tumepata mtoto ila huyu mwanamke hataki nimpeleke mwanangu kwetu.
Niko Mkoa mwingine kikazi. Huko kwetu nimejenga na nina nyumba...
I mean imetokea ukamkuta mkeo/mumeo, ama mpenzi wako anapiga punyeto a.k.a masterbation utamfanyaje ama utajisikiaje? Utajisikitikia kwa kutomridhisha, utampiga kibao, utamlaumu kwa tabia hiyo...
Nilikuwa naongea na dada mmoja hivi utani utani nikamwambia ww ukienda game na mm huniwezi means kale kamchezo ketu katamu akasema mimi sina lolote na siwezi katika bisha bisha pale akanitwanga...
Ndoa zenyewe hizi za kizazi chetu zilizoko kwenye Life Support kila kukicha!, Prenuptial muhimu. Nionavyo,atakae chit KWANZA...
1.Asipate chochote kwenye mgawanyo wa mali
2. Anyang'anywe watoto...
Nakupenda mpenzi wa maisha, maisha aaah na mimi moyoni
Nafuraha tele moyoni kuwa wako mwenzi wa maisha
Natoa yatoisha toka moyoni mwangu
Nimekuchagua we uwe wangu, vipangimizi vingi waliweka...
What is this! Hivi wanawake wapo Kilimanjaro tu na Uhayani? Nina kadi za kuchangia harusi hapa, kadi zipo tisa.
Tuachane na habari ya michango - kwa sababu kuchanga au kutokuchangia ni uamuzi...
Natafuta marafiki jamani sichagui dini,,rangi,,,kabila,,wala kitu chochote wewe kama unaweza kua friendly not keroo ni Pm nikupe my number tuanze urafiki (SITAKI MASHOGA UKINITAFUTA KAMA WEWE NI...
Wanajamvi, this is my first time to start a thread here.
Nitangulize angalizo,what am about to say is my true life experience so watch how you advice or comment.
Baada ya kusema hayo niseme sasa...
Ndugu wana MMU kiukweli nashindwa kujielewa,yaani simtamani mke wangu kabisaaaaa. Yaani tunaweza maliza hata wiki mbili bila kugusana japo nyege ninazo. Wenye uzoefu nisaidieni.
Inabidi mtambue pia kuwa to some degree, baadhi ya wanaume wana tabia ya kukwepa kujenga mahusiano ya maana, (mahusio ambayo hatimaye yaaweza yakaja kupelekea kweye ndoa) na wasichana menye sura...
Habari ya jioni wakuu wote wa jukwaa hili la MMU. Leo nina dukuduku. Najihisi kukerwa tena kukerwa haswaaa. Si ajabu umesikia Mara kadhaa au kupokea ujumbe mfupi wa maandishi ukisema "Mama ni...
HABARINI MABESTITO:
Nimekuja kivingine kabisa kwa wale walionizoea watashaangaa kuona ladyf leo vipi kaja na kaswali ndani yake
watashangaa kulikoni leo mswahiba wetu kaingia spidi haina gavana...
Kuna binti nilitokea kumpenda sana wakati nasoma o level sikubahatika kudoo nae ila nilimpenda sana na yeye alinipenda sana, baada ya olevel nilikwenda
A level boarding mikoani mbal na nyumbani...
Mimi kama binti niliyepo katika mahusiano kwa muda mrefu nimeshindwa kuelewa baadhi ya mambo kama haya ambayo leo nimekuja kwenu mnishauri kuwa ukikutana na kitu kama hiki utamsaidiaje mwenzako...
Wanawake waliovaa sidiria Kushikilia matiti yao
Picha za wanawake bila kuvaa sidiria kushikilia matiti yao
Taswira za wasichana wa kiafrika mwonekano wa kimapokea wakiwa na vifua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.