Wanaume tunachangia sana wanawake kuwa malaya

ligera

JF-Expert Member
May 17, 2014
2,650
1,250
Wanaume wamekuwa chanzo kikubwa cha kusababisha wanawake wengi katika jamii kuonekana malaya kwa tabia za baadhi ya wanaume

Utakuta mwanaume anamdanganya mwanamke kwamba anataka kumuoa hivyo amkubalie tu ombi lake , hana nia ya kumchezea tu, natamani uwe mama wa watoto wangu na maneno mengi mazuri mazuri ya kuleta faraja yanayo ashiria maisha ya ndoa ya pamoja . Lakini kumbe ni uwongo tu anachokisema si ndicho kilicho moyoni mwake, utakuta binti anakubali kwa amehakikishiwa mahusiano yanayo elekea kwenye maisha ya ndoa . Kumbe ni changa la macho.

Kuna baadhi ya wanaume wakiona binti ana msimamo sana uwongo unapitiliza hadi kufikia hatua ya kumwambia binti wa watu kwamba kama huamini nina nia ya kukuoa nipeleke kwa wazazi wako, na jamaa anapelekwa kwa wazazi na kuku anachinjiwa lakini kumbe si muoaji ni tapeli wa mapenzi.

Sasa utakuta mwanamke akishatendwa mara ya kwanza , mara ya pili, ya tatu na ya nne kwa nini jamii yake isimwite malaya. Halafu kila mwanaume anapokuja huja na maneno mazuri kwamba wanaume tunatofautiana unajua mimi si kama huyo unayesema alikutenda ,nitakuheshimu ,nitakujali, nitakutunza kumbe wizi mtupu akishavuliwa tu chupi akiondoka imetoka hiyo akirudi pancha.

Wanaume tuache tabia hiyo ya kudanganya watoto wa watu kwani ukiwa tu mkweli kwamba nataka tugegedane tu kuna ubaya gani. Hasa wanafunzi wa chuo unamdanganya binti mwanachuo mwenzako unakaa naye miaka mitatu au semista nzima anakupikia ugali ,anakubrashia viatu lakini ikiisha semista unahama chumba unamwacha solemba wakati huo umemzibia riziki pengine angepata mwanaume wa kweli.

Ukweli ni kwamba hakuna mwanamke asiyependa kuolewa , hakuna mwanamke anayependa kila siku ahudhurie masherehe ya wenzake halafu yeye yupo tu . ukikuta mwanamke anaponda maisha ya ndoa ujue ametendwa sana sasa amekata tamaa .

Wanaume badilikeni jamani ili kuwaletea heshima wenzenu mnagegeda mabinti wa wenzenu miaka na miaka halafu mnawaacha sasa akipita muoaji akifuatilia historia anakuta jamaa kagegedana na fulani ,na fulani na fulani yule, mwisho na yeye anajikatia tamaa anaamua kuacha kwani anaona kama anakula makombo tu ya wenzake au kama vile amechukua shati la mtumba wakati ya dukani yapo mengi, anajiona kama amenunu used engine. Hii tabia siyo nzuri jamani.
 

Watu8

JF-Expert Member
Feb 19, 2010
53,137
2,000
Kuwa malaya au kutokuwa malaya ni uamuzi wa mtu bana...

Kugegedwa kabla ya ndoa pia ni uamuzi binafsi wa mwanamke na wala asiweke lawama kwa mwanaume...

Wanawake bana, dudu tamu ikiwa tunduni lakini ikitolewa tu basi lawama kibao...
 

ligera

JF-Expert Member
May 17, 2014
2,650
1,250
yaani kama ni mimi umekuja na binti yangu ukadanganya nikakuchinjia na kuku , mbuzi na ng'ombe halafu ukasepa jumla nakugeuza ngazi .utapandwa wewe hadi ukome.utapandwa asubuhi, utapandwa mchana ,jioni na usiku utapandwa tena na tena hadi uje umchukue binti yangu.
 

utafiti

JF-Expert Member
Jul 18, 2013
12,797
0
Last edited by a moderator:

Eli79

JF-Expert Member
Jan 9, 2013
26,927
2,000
Umalaya wa mtu awe mwanaume au mwanamke hautegemei mtu mwingine hata kidogo. Acha kuwapa bichwa hawa wanawake. Hamna mtu anayelazimishwa kujiingiza kwenye mahusiano ya ngono, wanaamua wenyewe kwa ridhaa yao. Tena baadhi yao mkishaanza uhusiano yeye ndo anataka dushe, wengine hata ule uhusiano wa kufahamiana vizuri na kujenga urafiki hawataki, wao ni dushe tu...!

Wasimsingizie mtu kwa umalaya wao..!!
 

ligera

JF-Expert Member
May 17, 2014
2,650
1,250
Umalaya wa mtu awe mwanaume au mwanamke hautegemei mtu mwingine hata kidogo. Acha kuwapa bichwa hawa wanawake. Hamna mtu anayelazimishwa kujiingiza kwenye mahusiano ya ngono, wanaamua wenyewe kwa ridhaa yao. Tena baadhi yao mkishaanza uhusiano yeye ndo anataka dushe, wengine hata ule uhusiano wa kufahamiana vizuri na kujenga urafiki hawataki, wao ni dushe tu...!

Wasimsingizie mtu kwa umalaya wao..!!
asante kwa mchango wako mkuu , ila hujatoa solution
 

the american dream

JF-Expert Member
Mar 25, 2013
1,761
1,225
Tatizo picha iliyokuwepo vichwani kwa wanawake ni kuona ngono inapofanywa wao ndo waathirika pekeee


Sas mbona utamu mnapata wote

Kama mwanamke malaya mbona hata mwanamume naye ni hivyo hivyo tuuu
 

Ntuzu

JF-Expert Member
Aug 8, 2013
17,424
2,000
Umalaya wa mtu awe mwanaume au mwanamke hautegemei mtu mwingine hata kidogo. Acha kuwapa bichwa hawa wanawake. Hamna mtu anayelazimishwa kujiingiza kwenye mahusiano ya ngono, wanaamua wenyewe kwa ridhaa yao. Tena baadhi yao mkishaanza uhusiano yeye ndo anataka dushe, wengine hata ule uhusiano wa kufahamiana vizuri na kujenga urafiki hawataki, wao ni dushe tu...!

Wasimsingizie mtu kwa umalaya wao..!!


Hivi vi mada hua Naona kz sn kuchangia Lkn Leo nitasimama imara kutetea wanaume!

Haiwezekani kila mahusiano yapelekee kufunga ndoa tu!
 

MO11

JF-Expert Member
Mar 23, 2014
17,458
2,000
Aiseee nimewadanganya wengi kwa style ya kuwaoa nimewagegeda mpaka basi japo sijutii ila mpaka nioe nitakuwa najaza mabasi ya Dar express mawili na double coaster
 

Daudi1

JF-Expert Member
Dec 14, 2013
6,815
2,000
kwa hiyo hata wanajiuza ni wanaume wamesababisha wajiuze? suala la umalaya halina uhusiano na wanaume, kuna wanawake ni hulka yao tu kuchanganya wanaume tena anaweza kuwa na wanaume zaidi ya mmoja kwa wakati mmoja na huyo mwanaume amesababisha?
 

Eli79

JF-Expert Member
Jan 9, 2013
26,927
2,000
asante kwa mchango wako mkuu , ila hujatoa solution
Nitoe solution gani mkuu, kujiingiza katika mahusiano ya ngono ni uchaguzi wa mtu, kwa ridhaa yake bila kushururishwa na mtu. Iweje leo baada ya uhusiano kwenda mrama tatizo liwe langu? Hiyo sio fair hata kidogo.

Wanawake wengi wanaparamia kujiingiza katika mahusiano bila kufanya upembuzi yakinifu, wengi hata hawajachukua mda kumsoma mtu waliyenae, wengine hata hawakai na hao watu wao angalau wakaongea future ya urafiki wao, wengi hawapo radhi kuwa katika mahusiano yasiyo na ngono..! Ukiwalaumu wanaume unawabebesha mzigo usio na maana..!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom