Inakuwaje hii kwa wanawake na wanaume tafadhali

moreen baby

Senior Member
Feb 20, 2014
127
23
Habari wana MMU

Inakuwaje mwanamke una mpenzi wako mnapendana sana ila kila unapotaka kuingia period (siku zako) mwanaume wako ndo anaumwa tumbo anatoka chunusi kiuno vyote vinamsumbua na ile hali hamjafunga ndoa.
 
inakuwaje mwanamke una mpenzi wako mnapendana sana ila kila unapotaka kuingia period (siku zako) mwanaume wako ndo anaumwa tumbo anatoka chunusi kiuno vyote vinamsumbua na ile hali hamjafunga ndoa:teeth::teeth:

Haya maswali mengine aisee muwe mnaenda kuuliza kwa masangoma...khaaa!!!

Swali hili ni zaidi ya sayansi ya kawaida...
 
wengne wanasemaga wakibeba mimba zile dalili za mjamzito anakuwa anapata na mwanaume pia kama kichefchef nk. Nadhan ndo chain ileile nadhan wananjua watatwambia uhusiano uliopo hapa
 
Sasa si ushukuru anakusaidia maana yake ukiona hakuna dalili hizo kwake ujue umenasa, ole wako sasa unase kwa mwingine maana utaulizwa
 
Habari wana MMU

Inakuwaje mwanamke una mpenzi wako mnapendana sana ila kila unapotaka kuingia period (siku zako) mwanaume wako ndo anaumwa tumbo anatoka chunusi kiuno vyote vinamsumbua na ile hali hamjafunga ndoa.

Wanasemaga eti unakuta anakupenda kwa dhati ndo mana nae anapata niaje hizoo
 
Back
Top Bottom