magode
JF-Expert Member
- Oct 2, 2014
- 2,204
- 3,336
Wanabody salaam.
Baada ya escrow,tunarejea tena kwenye maisha yetu. Me naomba kujua,kwa wale wanaofunga ndoa na kwenda honeymoon(fungate) ambayo kwa mujibu wa dini na kimila ni siku 7.
Wanaenda kufanya nini? Nijuavyo mimi,fungate inafanywa na wanandoa ambao wote hawaguswa! Hivyo walikuwa wanapewa siku hizo kwa ajili ya kwenda kujifunza tendo hilo Takatifu wakiwa huru.
Na ikumbukwe kila mmoja kwa upande wake anakuwa amejengewa uwezo na wakubwa zake jinsi ya kumkabili mwenzie.
Ndoa zinazofungwa leo ni vigumu kumkuta bikira awe me/ke hiyo honeymoon mnaenda ya nini? Kabla hata ya kufunga ndoa,mlishakutana guest mbalimbali na kati yenu hakuna aliyekuwa bikira,wote mlikutana wazinzi wazoefu.
Hivi hapo kweli kuna haja ya fungate baada ya ndoa?
Wenye maana pana waje.