JEKI
JF-Expert Member
- Aug 16, 2013
- 4,845
- 2,968
Kuna huu mtindo wa wanaume, kama ana mke au mpenzi mrembo halafu akatoka naye kwenye mitoko labda ya harusi, basi atahakikisha anamtambulisha kila mtu anayemfahamu, lengo lao ni kusifika ana mke au mpenzi mzuri basi aonekane na watu wote.
Nawaambieni huu mchezo ni hatari kubwa, kitendo hicho kinawapa wanaume unaowatambulisha upenyo wa wao kuingia, si keshatambulishwa bhana, utashangaa hata haupo nyumbani jamaa anakuja tu, si keshatambulishwa. Hebu mjiulize swali hili, mwanaume gani asiyependa kutembea na mwanamke mkali kama fursa ipo?