Mke wangu kanisaliti nilipokuwa nipo kikazi katika shughuli zangu nje kidogo ya jiji la Dar.
Taarifa Nimepata Kutoka Kwa Maswaiba Wangu Wa Karibu Na Kwangu Na Wameniambia Mke Wangu Anatembea Na Rafiki Yangu Wa Karibu.
Nilipopata Taarifa Hii Nilimwendea Kitombi Aliyenigongea Mke Wangu Ambaye Ni Rafiki Yangu Wa Karibu Na Amekuwa Muwazi Kwangu Na Amesema Hatorudia Tena Na Mimi Nimeachana Nae For Good.
Ila Akirudia Na Nikapata Harufu Yakuwa Amemgonga,atakuwa Amejipa Kibali Cha Kwenda Ahera.