Hii tabia sio kabisa jamani

Hii tabia sio kabisa jamani

ligera

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2014
Posts
2,646
Reaction score
1,173
Imezuka tabia ya watu hasa vijana wanakubaliana kuoana halafu wanatoa kadi za michango kwa marafiki na watu wanachangia lakini mwisho wa siku ndoa haipo na sherehe haipo ukifuatilia kumbe mwanaume na mwanamke wamekula dili wachangishe ela, halafu ukikutana na mwanaume ukimuuliza vipi mbona watu tumechangia halafu mambo hayaeleweki wanaume anakujibu mwanamke mwenyewe mshenzi tu, kwanza kicheche halafu ametoroka kwa hiyo ndio maana kila kitu kimeharibika.

Hii iimetokea huku kwetu jamaa kachangisha sasa ni miezi sita imepita hakuna kadi ya mwaliko wala nini, uhuni mtupu jamaa kapiga ela na demu wake na ukifuatlia unakuta kumbe lilikuwa dili wawili hao walikubaliana na mwisho wa siku ukimkuta mwanamke anamponda mwanaume kwamba hawezi kuolewa na mwanaume kicheche hivyo ameona aghairi.

Kuweni makini na huu uhuni jamani.
 
Hivi kweli kuna wanaofanya hayo bila sababu ya msingi???? Mbona hainingii akili me najua hao wanaofanya hivo ni.kitu kimegundulika huku kwetu kuna msichana alitaka kuolewa akafanyiwa kila kitu kuanzia posa mahar had mkaja wa mama na siku ikatolewa sasa harusi ikapangwa kufanyika jumamos huwez amini.sare tulikata michango tukatoa na kila kitu ikingojwa siku ya harus tayr na.bibi harus akawekwa ndani yaani siku zimekaribia kama leo alhamis mume kaghairi hamtaki mke na kasameh kila kitu kuja kujulikana tayar bibie ana ujauzito ambao s wa huyo amuoae!!!
 
Pole hata mie nimewahi kulizwa pesa na jamaa mmoja kazini alituzingua hivyohivyo. Inaboa sana.
 
dawa ni kuacha tabia za kuchangia harusi. Watu waoane kwa uwezo wao kama hawana uwezo wa kugharimia harusi kubwa watafute hata laki na nusu tu inatosha mnamalza hafla ndogo mnaoana. Ndoa si harusi bhana tatizo watu wanapenda matangazo waonekane wameoana. ACHENI kabisa michezo ya kuchangia harusi
 
Mna marafiki wa aina gani ninyi?

That's kinda weird...!!!
 
Hivi kweli kuna wanaofanya hayo bila sababu ya msingi???? Mbona hainingii akili me najua hao wanaofanya hivo ni.kitu kimegundulika huku kwetu kuna msichana alitaka kuolewa akafanyiwa kila kitu kuanzia posa mahar had mkaja wa mama na siku ikatolewa sasa harusi ikapangwa kufanyika jumamos huwez amini.sare tulikata michango tukatoa na kila kitu ikingojwa siku ya harus tayr na.bibi harus akawekwa ndani yaani siku zimekaribia kama leo alhamis mume kaghairi hamtaki mke na kasameh kila kitu kuja kujulikana tayar bibie ana ujauzito ambao s wa huyo amuoae!!!

hapo ndipo baadhi ya wanawake wananiacha hoi mm..
Inamaana mtu kuamua kukuoa ni kosa?
Kwann umfanyie ushenzi kiasi hicho? Yaan ujazwe mimba na mwanaume mwingne wakat unajijua kabisa na mume wako.

Watu wengne wanalaana sana.
 
Dah! maisha yamekuwa magumu sana, sasa hao wakifanya hilo dili wanaoana kimya kimya au kila mtu anasepa kivyake? kama wanaoana kimya kimya nawapa big up! maana siku hizi watu wanapenda sherehe kubwa bila kuangalia hao mnaowafanyia sherehe wataishi maisha gani mara baada ya sherehe, ingekuwa vema kuwapa kianzio cha maisha, kuliko watu wakitoka huko honeymoon hakuna anayefuatilia wanaendeleaje mnakuja kujua wanaendeleaje wakileta kesi
 
Hivi kweli kuna wanaofanya hayo bila sababu ya msingi???? Mbona hainingii akili me najua hao wanaofanya hivo ni.kitu kimegundulika huku kwetu kuna msichana alitaka kuolewa akafanyiwa kila kitu kuanzia posa mahar had mkaja wa mama na siku ikatolewa sasa harusi ikapangwa kufanyika jumamos huwez amini.sare tulikata michango tukatoa na kila kitu ikingojwa siku ya harus tayr na.bibi harus akawekwa ndani yaani siku zimekaribia kama leo alhamis mume kaghairi hamtaki mke na kasameh kila kitu kuja kujulikana tayar bibie ana ujauzito ambao s wa huyo amuoae!!!
Amini usiamini mwanamke ndo mtu katili duniani kuliko mwanaume na ukatili wenyewe si lazima akushikie silaha, sasa huyo anajua kuwa ana mimba isiyokuwa ya mwanaume anayemuoa bado anaolewa naye lengo lake lilikuwa nini?
 
kaka mtoto siri ya mama, we lea tu shukuru Mungu umepata mtoto.. Wanawake wetu wana siri nyingi moyoni.
 
Dah! maisha yamekuwa magumu sana, sasa hao wakifanya hilo dili wanaoana kimya kimya au kila mtu anasepa kivyake? kama wanaoana kimya kimya nawapa big up! maana siku hizi watu wanapenda sherehe kubwa bila kuangalia hao mnaowafanyia sherehe wataishi maisha gani mara baada ya sherehe, ingekuwa vema kuwapa kianzio cha maisha, kuliko watu wakitoka huko honeymoon hakuna anayefuatilia wanaendeleaje mnakuja kujua wanaendeleaje wakileta kesi

wanasepa kimyakimya baada ya kugawana mgao wa michango ya harusi waliyopewa na ndugu ,jamaa na marafiki.
 
kaka mtoto siri ya mama, we lea tu shukuru Mungu umepata mtoto.. Wanawake wetu wana siri nyingi moyoni.
Apatikane ndani ya ndoa nitalea nitaashumu ni wa kwangu lakin si nje ya hapo
 
wanasepa kimyakimya baada ya kugawana mgao wa michango ya harusi waliyopewa na ndugu ,jamaa na marafiki.
Dah! hata hivyo baada ya kuona miharusi ina gharama kubwa hivyo wanauhakika wa kupata pesa
 
mi Naona Haisaidii Kitu Labda Huyo Mume Hasijeoa Maishani Na Mke Kutolewa
Lasivyo Wataumbuka Vibaya Mbeleni
Ahsante Jigo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom