Chagua kifurushi chako cha Ndoa

Chagua kifurushi chako cha Ndoa

nasi

Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
47
Reaction score
20
Laiti ndoa ingekuwa ya kifurushi,je,wewe ungejiunga na kifurushi gani? kuwa mkweli
a)cha siku?
b)cha week?
c)cha mwezi?
d)cha mwaka?
e)cha milele?
 
Back
Top Bottom