Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 31,010
- 60,485
Merry christmass & Happy new year people. Msherehekee responsibly bana ili wote tuwe happy people.
Back to topic.
Kuna kitu ambacho nimeona twaweza kujifunza kwenye hili sakata la Diamond & Penny kuhusu utoaji mimba. Zaidi nimeguswa na jinsi watu wanavyomshambulia Diamond kwamba mropokaji, sijui kamharibia Penny kutangaza mambo ya siri and so on. Yani malalamiko ni mengi, but come to think of it mi naona kosa dogo sana kwa jamaa ukilinganisha na Penny maana nnavyoona mimi kajiharibia mwenyewe!!
Lets be honest, wewe kama mwanamke ukipata mimba ya mwanaume ambae for some reason hutaki kubeba mimba yake unamuambia ili iweje???!Akupe pesa ya kwenda kutoa au msindikizane?!Why not keep it to yourself?
Yani unamuonyesha mwanaume kwamba he is not worthy of being your baby daddy ili ajue kwamba wewe ni matawi sana zaidi yake?! Show off za kijinga!
Umeshamvulia pichu..GOLI # 1, kama hiyo haitoshi umekubali bila protection ya aina yoyote against pregnancy huku ukijua kinachoweza kutokea GOLI # 2, kitu kimejibu GOLI # 3 kwa jamaa na wewe 0. Tangu mwanzo unajua kabisa hapa mimba/mtoto ni big no kwanini umpe taarifa kwamba unaenda kutoa if you want to keep it a secret?
Huo ni ubwege.
Ushauri wangu wa kwanza ni..BE SMART and PLAY SAFE. DON'T TAKE THE RISK IF YOU CAN'T HANDLE THE RESULTS. Sio mtu unajiachia mwenyewe alafu baadae unajishaua kwamba unatoa kwasababu jamaa kakataa, kwahiyo ulitaka kumbebea kakuomba?!Ohh sijui ni wa ajabu siwezi kuzaa nae, hilo umegundua baada ya mshkaji kufanya kweli?! Jiachie pale tu unapokuwa ume-consider all there is to consider. Kwamba hata likitokea la kutokea utakuwa responsible for your own action(KUJIACHIA) with or without the guy. Maana siku zote ukifanya mapenzi na mtu kwa makubaliano mwanamke peke yake ndo anaefanya mimba iwepo ama isiwepo na sio mwanaume. Si-support kutoa mimba lakini ikitokea umelengesha na hutaki kubaki nayo USIMWAMBIE mwanaume. Kama ni hela ya kwenda kutoa unataka mpige mzinga kwa style nyingine unless unataka kutangazwa ulivyobobea kwenye kuchoropoa kama bibie Penny.
Na nyie wakaka ikibidi muwe mnasema mapema jamani "mamii turuke sarakasi zote lakini hapa/kwa sasa MIMBA HAIKUBALIKI" ili hata wale wanaolengesha kwa makusudi wajue kabisa hapa hata nikijibebesha jamaa hatangazi ndoa wala nini.
Sipati picha kesho mtaani patachafukaje harufu ya mapochopocho ya ukwee..tualikane basi -😉