Baby is Mad
JF-Expert Member
- Nov 4, 2014
- 279
- 97
kwani baby wako alikupendea Christmas
Mwambie una mia mia mbili kama vp umpe moja
Ngumu kumeza 🙁
Mkuu kwa kukosa hicho kitendea kazi huna budi kutoa kibali maalumu kwa mpenzi wako...ili wanaojiweza wakampe raha....maana hayo ni makosa yako.....