Chonde chonde kinamama kinadada fungukeni katika hili

Baba C

Senior Member
Mar 15, 2012
125
55
Kwa tathmini ya haraka niliyofanya katika kila wanaume 10 ni 4 kati yao wenye kujiamini kwamba watoto alionao ni wake wa kuzaa kwani wengi wa wanaume hulea watoto kwa imani na hawako tayari kupima DNA kwa hofu ya matokeo.

Please kinadada na kinamama fungukeni katika hili.

Heri ya xmass wote.
 
Unaongea nn ww?!! Hivi unafikir mama yako akimwambia baba yako kuwa ww sio mwanaye aliuziwa mbuzi kwa gunia unafikir nini kitatokea?

Mambo mengne acha yapite kama yalivyo. Ukiyachunguza sana utakuta hata ww sio mtoto halisi wa baba uliyenaye
 
Unataka tukwambie nini sasa....yani niseme kabisa kwamba watoto wawili kati ya wanne nlionao si wa mume wangu???? Una utani wewe

eti anataka useme ujauzito ulionao sio wangu ila ni wa Ntuzu
 
Last edited by a moderator:
Kwa tathmini ya haraka niliyofanya katika kila wanaume 10 ni 4 kati yao wenye kujiamini kwamba watoto alionao ni wake wa kuzaa kwani wengi wa wanaume hulea watoto kwa imani na hawako tayari kupima DNA kwa hofu ya matokeo!please kinadada na kinamama fungukeni ktk hili!Heri ya xmass wote!

Hii tathimini yako ya fikira za kimaskini.Kama umeshazaa hovyo na malezi yamekushinda usitake kuja hapa watu tukufariji.
Wanaume wote sio wavulana kama wewe.
 
Unataka tukwambie nini sasa....yani niseme kabisa kwamba watoto wawili kati ya wanne nlionao si wa mume wangu???? Una utani wewe

Honey, uko huku? Mimi nakutafuta uniandalie kifungua kinywa wewe umekimbilia huku....!? Hebu kuja faster, mwenzio nina njaa. Hayo mengine waachie wao waendelee kujadili, mimi nitaendelea kulea wote ulionao hata wa mme mwenzangu Ntuzu....loh.
 
Honey, uko huku? Mimi nakutafuta uniandalie kifungua kinywa wewe umekimbilia huku....!? Hebu kuja faster, mwenzio nina njaa. Hayo mengine waachie wao waendelee kujadili, mimi nitaendelea kulea wote ulionao hata wa mme mwenzangu Ntuzu....loh.

Baby chai muda huu kwani unaenda wapi?? Nisubiri kidogo switie
 
Kwa tathmini ya haraka niliyofanya katika kila wanaume 10 ni 4 kati yao wenye kujiamini kwamba watoto alionao ni wake wa kuzaa kwani wengi wa wanaume hulea watoto kwa imani na hawako tayari kupima DNA kwa hofu ya matokeo!please kinadada na kinamama fungukeni ktk hili!Heri ya xmass wote![/QUO
Ukimchunguza kuku atakushinda kumla,hujui yupi wako yupi sio wako hata huyo mama mwenyewe kuna wakati ana changanya madawa,chamsingi funika kombe mwanaharamu apite,inawezekana hata mzee wako pia huyo unaemuita Babu sio mwanawe.............
 
Back
Top Bottom