Ushauri wenu wadau

Ushauri wenu wadau

KUNI

Senior Member
Joined
Sep 9, 2014
Posts
140
Reaction score
299
Nina mpenzi wangu tunapedana sana! Nimemtoa bikra siku chache zilizopita ila tatizo anakataa katakata kurudia kufanya mapenzi tena! Nishaurini wadau juu ya mbinu za kumfanya aridhie kwa hiyari kufanya tena.
 
Chovya chovya humaliza buyu la asali,kama umenogewa oa kabisaa uone kama atakataa kukupa tena!!
 
Hiyo hali ipo kwa wadada wengi mara wanapoanza kushiriki tendo la ndoa kutokana na maumivu wanayopata siku wanapobikiriwa!Yakupasa kumuelewa na kumuweka sawa kisaikolojia, unaweza kuheshimu hisia zake na kusubiria atakapokuwa tayari tena kukupa tunda lake!
 
7189-christmas-messages-for-boyfriend.jpg
 
Back
Top Bottom