Mwanapropaganda
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 4,235
- 2,512
Habari zenu wanajamvi letu pendwa la mmu.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Katika suala zima la mahusiano hasa kwenye hatua ya mwanzo ya kutaka kumueleza mtu wako kuwa unamuhitaji kuwa naye kama wapenzi/ wachumba tunakuwa tunategemea majibu yanayoweza kuturidhisha kama tunavyotegemea kumbe hali ni tofauti.
Katika uzi huu naomba nieleweke kwa namna ya "kuhitaji" kama kitu cha msingi kinachoweza kuanzisha na kuendeleza mahusiano vile vile kujenga na kubomoa.
Katika tatizo la "kuhitaji" nililoliona katika maisha yangu hata ya urafiki wa kawaida ni kwamba; Wakati unapoonesha kumpenda mtu naye akajua hivyo kwamba unampenda na kuhitaji kitu kwake anakuwa hana hamu na wewe.
Mtu wa aina hiyo unaweza kumjua kama mwanzo mlikuwa mna-share info na kupeana salamu hata kwa simu lakini akishajua kuwauna shida naye saana hata ukimtumia ujumbe anaweza akauona na asikurudishie kwa wakati au asikujibu kabisa.
Vile vile mtu wa aina hiyo hiyo endapo utaamua kupunguza ukaribu naye wowote ule anaanza kuwa kama wewe ulivyokuwa mwanzo na wewe kuwa kama yeye. Yaani wakati hakuhitaji uanakuwa na hamu naye sana na usipomuhitaji yeye anakuwa na hamu sana na wewe.
Kupitia vuta nkuvute hii nimejaribu kuona kama kuna uwezekano wa kua-act kama humuhitaji mtu ambaye unamhitaji sana ili nione kama matokeo yanaweza kuwa kinyume na tendo husika nikaona kuwa hiyo inawezekana lakini inahitaji uvumolivu tu.
Siku zote kitu unavhokipenda utatamani uwe nacho karibu wakati wote na kinapokosekana kwa muda mfupi kinaonekana ni adimu sana hivyo kinapotokea unaweza kutafuta fursa ya kukisogelea lakini ukashindwa kwa kuwa nacho kinasogea kwa kuwa hampatani(unamhitaji wakati yeye hakuhiaji)
Wale wataalam wa saikolojia wanaweza kueleza vizuri ni kwanini hii inatokea? unaweza kufanya uchunguzi kwa watu wako wa karibu ilo kudhitisha nikisemacho.