Nawasihi wanawake mnapokuwa mna raise demands zenu kwa wanaume au wapenzi wenu hakikisheni wako under no influence of anything ili anapokubali au kukataa awe anajua anachokifanya.
Raise demands...
Wanaume wenye Sura mbaya wanapata shida sana katika kila kitu katika maisha hapa Bongo na hasa linapokuja kwenye swala la kupata Demu/mwanamke ndio kabisa.
Wengi wao huwa hawana chance na hata...
Habari.
Nilipost humu kuhusu kutafuta Mchumba ili nimuoe ila mrejesho niliopata Pm nina hakika hapa sio sehemu sahihi,jamani mi sio wa kuhamisha Pm kuja hapa.
Nimejifunza sana kuna ambao...
Unaambiwa kama kuna jambo ambalo unashauriwa uweke umakini wa hali ya juu katika kulienendea katika maisha yako,
Basi ni jambo la kuchagua yule ambae kama si sasa basi baadae atakuwa mwenza wako...
Habari zenu wana Jamvi
Leo nimekuja hapa kwa ajili ya kupata ushauri wenu,mi ni kijana wa miaka 22 lakini Mungu amenijalia nimepata ajira ya kudumu serikalini na yenye maslai mazuri,kwa sasa...
Hii imemtokea mwenzetu hapa ofisini kwetu na tunae jamaa alifunga Ndoa na mkewe miaka mitano iliyopita na wakabahatika kupata mtoto wa kiume ambae walikua wanamsomesha Shule fulani ya watakatifu...
Ndugu zangu wana JF.
Haja yangu na kiu yangu ilikuwa kuoa mwanamke wa Kichaga kutokana na sifa yao ya kutokaa tu Nyumbani na badala yake kutafuta pesa kwa biashara halali.
Mchaga mmoja binti...
Nimefanya utafiti nikagundua wale ambao unakuta facebook mfano ana marafik 4900 na yeye sio maarufu kwasababu ya uzuri wake tu ujue huyo afai.
Huu utafiti nilianza kuufanya kwa kujaribu kutongoza...
1.Real men will never force their girlfriend to have sex.
2.Real men dont sleep around with different ladies to prove that they are men enough.
3.Real men fear god and follow his ways.
Are you...
Wakuu nilitakiwa nilipe kodi mwanzoni mwa mwezi huu.
Ila kwa hali nilionayo na majukumu nilionayo bado sijaweza kulipa hadi leo hii.
Mama mwenye nyumba kanijia juu tena kwenye ofisi yangu mbele...
Tatizo la Ukimwi si geni masikioni mwa watu kwani Huripotiwa mara kwa mara katika vyombo vya habari, tatizo ambalo husababisha vifo bila kujali rangi wala kabila huku likiongeza umaskini, idadi ya...
Jamani huu utajiri wa haraka haraka utatufikisha pabaya.
Yupo jamaa yangu wa karibu amekuwa akifanywa mbaya na mganga wa kienyeji kwa minajili ya kutajirika yaani amemuharibu jamaa na hakuna...
Niliwahi kuishi maeneo fulani hapa Mjini, kwa hiyo kuna Mwanamke fulani alikuwa jirani yangu, nilikuwa tu namsalimia shikamoo kila nikimwona basi, maana alikuwa mtu mzima (ana tako balaa tupu)...
Jamani nimekuwa na mahusiano ya kimapenzi na mdada mmoja hivi takribani ni miaka 3 sasa.
Katika mahusiano yetu tumekuwa tukipendana sana na hatma ya yote lengo letu lilikuwa ni kuishi wawili kama...
Utakuta kuna mwanaume ana Sura ya ajabu, sura ya kutisha, sura utafikiri anakunywa Gongo kila saa, mpaka wanawake wanamuogopa kumuangalia. Mwanaume kama huyu mwanamke gani atamtaka, mwisho wake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.