Ningependa kujua maana Maprofesa na wana wa Zuoni Wengi Wake zao wengi ni Walimu eidha wa Upe, Diploma, na nadra ni Digree holders.
Naomba nijulishwe kuna siri gani kwenye hili?
Jamani wadada natafuta Mpenzi ambaye kama tutaenda vizuri tutakuwa Mke na Mume.Awe Mkristo asiwe Mwembamba sana awe Mrefu kiasi rangi yoyote ila napendelea zaidi rangi nyeusi.Mimi nipo Tanga...
Asalam aleykum wana Jf.
Mimi ni mwanamke wa 29yrs old.Kuna kijana wa miaka33 nina mazoea nae kwa 6months. Sasa ananionyesha dalili zote za kunipenda na kunihitaji ila hajawahi nitamkia mpaka...
Nina mchumba nipo nae zaidi ya mwaka na nusu sasa amenianzishia mtindo wa kunidai meseji za mapenzi zenye maneno mazuri zaidi ya mawili kabla ya kulala kama dozi vile daily.
Nimemtumia kama...
Jamani huyu rafiki simuelewi au ni sawa, we use to comunicate most of the time she is single.
Butt soon after nimemu itroduce my boyfriend kakata mawasiliano na mimi marazote yupo bize...
Well, katika mapenzi ama mahusiano, wapenzi wanakutana na vimbwanga vya aina mbalimbali.
Kuna wengine wanayafurahia mapenzi na kuhisi wapo Paradise, kusiko na shida wala karaha.
Na kuna wengine...
Rafiki yangu wa karibu amekuwa ana lalamika kuwa tangu issue ya Panya Road mkewe amekuwa akimkejeli na kumnyima haki yake ya Ndoa kwa madai ya kukimbia "Panya Road" hadi kupoteza Simu.
Hata...
Kuna msichana ambaye ni Jirani yangu sana na kusema kweli ni mzuri sana. Nilipataga hofu ya kumtongoza kwa sababu ya uzuri wake na ni gate kali. Ila kila alipokuwa anapata upenyo anakuja getto...
Anayejitambua awe mrefu wastani, mweupe, mwembamba, mkristo mchamungu wa kumaanisha (RC) umri 18 - 24, awe mwaka wa kwanza ngazi ya diploma. Nipm aliyeguswa
Heshima kwenu machief wangu.
Kama mnavyoelewa changamoto za ulezi hasa kwa Kizazi cha hivi Sasa.
Nimekuwa nikitafakari Sana, namna ya kuwapa Malezi bora wanangu, isiwe tu kukidhi mahitaji yao...
Habari ya usiku wapendwa.
Mimi ni mwanamke age 40 to 45 ni mwajiriwa na pia mjasiriamali nahitaji marafiki wa jinsia zote, umri wowote ili tuweze kujadili kuhusu Maendeleo hasa kuongezeana ujuzi...
Katika Miji mbalimbali kama sio yote hapa nchini huwa kuna wendawazimu. Japo huwa sielewi kama kuna tofauti ya mwendawazimu, kichaa, chizi na mwehu, Lakini swali hapo ni hili; Kwanini watu wa...
Mnapowatongoza
1. Upendo wa dhati kwa mme wake au
mpenzi wake.
2. Kulinda heshima yake kwa ndugu na
jamaa-kama ameolewa.
3. Kuogopa kupoteza fursa aliyonayo
kutoka kwa mme au mpenzi wake.
4...
Mimi ni mvulana mwenye umri wa miaka 32.Wasifu nilonao:
>Elimu yangu nina shahada ya kwanza ya uhasibu.
>Nimwajiriwa.
>Dini mkristu(RC).
>Sijawahi kutumia kilevi chochote.
>Sina mtoto.
>Nimaji ya...
Wakuu Kuanzia leo Nimekoma kabisa kuchepuka.
Hii tabia niliianza tangu siku nyingi sana,sasa majuzi nikitoka kazini nikakutana na mrembo mmoja maeneo ya sinza afrika sana ilikuwa mida ya saa moja...
Hii Habari uisikie tuu kwa Jirani.
Nilifanya Siri kwa washikaji zangu wa kazini juu ya "Mchongo" ninaopiga.
Leo Mshikaji anasimulia kila kitu mbele yangu tena kwa kujisifu kuwa kafaidi balaa...
Jamani ninapopata papuchi na wife wa miaka mitani anadai anapata mchebuko.
Hivyo ninalazimika kusubiri kwa siku 5 au wiki bila kupata Huduma tena.. isitoshi ni mwanamke mbaye nilikutana akiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.