Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,470
- 911,173
Jamani huu utajiri wa haraka haraka utatufikisha pabaya.
Yupo jamaa yangu wa karibu amekuwa akifanywa mbaya na mganga wa kienyeji kwa minajili ya kutajirika yaani amemuharibu jamaa na hakuna lolote alilofaidika na huenda amekanyagishwa miwaya.
Halahala kwa wale ambao ni watumwa wa mali mtatapeliwa na kujikuta majuto ni mjukuu.