Asanteni wadau,nimeghairi

Asanteni wadau,nimeghairi

lamalu

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2014
Posts
612
Reaction score
776
Habari.

Nilipost humu kuhusu kutafuta Mchumba ili nimuoe ila mrejesho niliopata Pm nina hakika hapa sio sehemu sahihi,jamani mi sio wa kuhamisha Pm kuja hapa.

Nimejifunza sana kuna ambao tumeongea vizuri kuna vitu hatujaelewana ila tumekubaliana kwani sifa hatujaendana tumebaki marafiki nimependa.

Tatizo limekuja kwa wengine na hii niwape tahadhari wale ambao kweli mnataka wachumba au wenza humu,mtu kaja na swaga za kike lakini nikagundua ni mwanaume anatumia Picha za kudownlod ananitumia eti ni yeye Msichana.

Jamani sio vizuri,nimeghairi kuna mengi yanaendelea pm yangu sitaki uwanja mdogo huu people are not serious here.Mwisho msaada anayeweza kunisaidia kufuta ule uzi wangu wa kutafuta mchumba please anisaidie.
 
Pole sana na asante kwa mrejesho ni experience nzuri umepata nakushauri rudi mtaani au kazini kwako au popote pale ambapo utakutana na mtu original face to face umwage sera zako! Kuhusu kufuta uzi wasiliana na mods/ invisible
 
Daaah watu wabayaaaa sasa mtu anatuma picha ya kudowsnload ndo iweje sasa
 
thanx kaka dah! nimechoka ndugu yangu
 
Daaah watu wabayaaaa sasa mtu anatuma picha ya kudowsnload ndo iweje sasa

picha ya kudownlod inajionyesha cjui kanionaje,wala sikutaka kuendelea kujua lengo lake,nimempa tu makavu
 
kijana tumia mdomo wako na swagg zako kupata msichana....mitandaoni utavurugwa tu
 
Kutafuta mpenzi/mapenzi kupitia mitandao tena hii ya bure yenye watu ambao wana majina ya uongo ni hatari sana. Unaweza ukapotezwa au kuharibiwa maisha au kupotezewa muda wako.
 
Ukiona mwanaume anajifanya mwanamke ni hakika analiwa watsap au anahitaji kuliwa....
 
Back
Top Bottom