mafurikoyamoto
Senior Member
- Sep 13, 2013
- 160
- 53
Wakuu nilitakiwa nilipe kodi mwanzoni mwa mwezi huu.
Ila kwa hali nilionayo na majukumu nilionayo bado sijaweza kulipa hadi leo hii.
Mama mwenye nyumba kanijia juu tena kwenye ofisi yangu mbele ya mpnz wangu aliekuja kunitembelea na mbele ya wafanyakazi wangu.
Yaani aliongea na kunifokea kwa sauti kubwa hadi nikapigwa na butwaa.
" nipe kodi yangu saivi na kama huna nakupa wiki moja uhame mara moja, sitaki usumbufu"
Nafikiria ubinadamu upo wapi?
Mbona mimi namlipaga ya miezi 12 kwa mkupuo?
Iweje yeye leo ashindwe kunielewa hali ngumu?
Pili kwanini aIinifokee mbele ya kadamnasi na mpenzi?
Nifanyeje?