Fujo kubwa kati ya wanawake na wanaume

Fujo kubwa kati ya wanawake na wanaume

Mapengo 17

R I P
Joined
Mar 28, 2014
Posts
1,228
Reaction score
618
Kumekuwa na fujo kubwa kati ya wanawake na wanaume,wanapoamka asubuhi kitu cha kwa kwanza ni kufikiri namna gani wataweza kuwavutia wasichana, na namna gani ya kuweza kuwavutia wanaume kwa upande wa wasichana.

Hapo ndipo suala la kukuza makalio,matiti na uume linapochukua nafasi yake,huku yote hayo yakiigwa kutoka katika mikanda ya ngono

Tukizungumzia swala hili kutoka katika makampuni ya mikanda ya ngono,wao wanadai kuwa mwanaume lazima awe na ukubwa kiasi flani ili aweze kuwa bora zaidi kwa mpenzi wake,na hapo ndipo uanaume wake unaweza kukamilika.

Kama tu vilivyo vidole vyako,vina urefu tofauti lakini vyote vinafanya kazi moja bila ya kujisikia kuwa kidole flani ni bora kuliko chenzake.

Kwa mujibu wa daktari pia mchungaji Olamide Craig yeye anadai kuwa "mwanaume sio lazima awe na size kubwa ya uume ili kumridhisha mpenzi,kitu cha msingi ni kujua mpenzi wako anataka nini na kwa namna gani waweza kufanya ili mpenzi wako aridhike{akojoe}"

Usidanganyike kuwa ukubwa wa uume ndo humridhisha mwanamke kwani wazee walisema "ukubwa wa pua sio wingi wa kamasi"

Pia acha kufuata mambo ya mikanda ya ngono kwani wao wapo kazini na huwa hawafanyi hivyo wanapo kuwa kiromantiki zaidi.

Kwa kasi ya ajabu speeeed 120 kwenye kona shaaaaaaaaaaa njoo Malaika na miss chagga


 
Ukikosa mchi wa kutwangia, waweza azima wa jirani na kutwangia kinu hichohicho. Kinachomata unatwangaje (i.e. skills).
 
ha ha ha ha umeongea ukweli naona manyoya tu ... kaa hapa wakukaange wapenda marungu na makalio makubwa.....

utakuwa una kibamia umetafuta adi tafiti za watu.. pole kitumie vizuri tu
 
Hivi hata kisima chenye kina kirefu unaweza kuchota maji kwa kopo????

Kibamia hapana aiseeh hakifiki kokote kinaelea tu hewani.
 
mwanaume mwenye p kubwa iliyopitiliza nayo ni mapenzi???? haaa kisa cha kufokolewa kizaz kikasogea bure kwa ufukunyuku wa penzi hainipati hii......................japo wanasema men are like snowstorms..... you never know when he is coming...........how many inches you will get or how long he will last kwa rungu no kitu kiwe size ndo mana hua tukichagua hata viatu tunaangalia kile kilichokukaa vizur sio kilichopwaya wala kinachobana ukatafta kuchubuka
 
Mtahangaika bure mara vibamia mara mihogo, mapenzi hayahitaji hivyo, kuridhika kwa mwanamke inategemea na maandalizi uliyoyafanya iwe ni kibamia au muhogo, pia kuridhika kwa mwanamke kingono ni sehemu tu ya kuridhika kimapenzi haimaanishi kwamba ukimridhisha hapo ndo umemaliza eti atakupenda milele kuna mambo mengi yanamfanya mwanamke aridhike nje ya tendo la ndoa, wengi tumezamia huko tukifikiri eti ndo njia nzuri ya kumkamata mwanamke la hasha, na haya mabo ya vibamia au mihogo imekuja miaka hii sio kwamba zamani hakukuwa na wanaume wenye vibamia ila wanaume walikuwa wanajua kutimiza majukumu yao kiasi kwamba iliwafanya wanawake waridhike na mambo kama vibamia na mihogo yakawa madogo tu ilikuwa ni kiasi cha kuvumilia leo hii tunahangaika na mambo hayo ya vibamia na mihogo kwa sababu wanawake hawaridhiki na mengi kwa hiyo kipimo cha kuridhika kimebaki kwenye tendo la ndoa

Wanawake wamejikuta wakiwa na mlolongo wa wanaume kwa sabab tu ya kutafuta mwenye muhogo wa ukweli maana huwezi kuuona mpaka muwe faragha, na wanaume wakihangaika eti kutafuta walio tight kwani kwa asiye taiti humwagi? wengine sasa ndo wanahangaika na dawa za kuongeza urefu na unene wkt kuna wanawake hawatak hizo oversize, ridhika tu na ulivyoumbwa kama ni muhogo au kibamia utapata atakayeridhika cha msingi ubunifu ndo maana waswali wanasema utamu wa pipi ni mate yako, msihangaike sana hayo ni ya Mungu kugawa muhogo au kibamia, kavu au yenye maji

 
kisima chenye kina kirefu utachota maji ila shida yake sasa ukienda trip moja ukirudia uko hoi bin taabani kibamia cha nini ukikohoa kimechomoka

hahaaaaaa.......leo zamu yao.......mie kazi yangu kucheka tu sitii neno.......
 
Watu wenye Over size wana uwezekano mkubwa wa kuambukiza
na kuambukizwa HIV ukilinganisha na sisi wenye Vibamia. Hii ni faida
mojawapo ya kuwa na kibamia,

Nilitembea na wan awake 3 waathirika kwa nyakati Tofauti lakini nimenusurika
nilipomueleza daktari baada ya maongezi ya Muda mrefu alinithibitishia kuwa
kibamia kimenisaidia.
 
Watu wenye Over size wana uwezekano mkubwa wa kuambukiza
na kuambukizwa HIV ukilinganisha na sisi wenye Vibamia. Hii ni faida
mojawapo ya kuwa na kibamia,

Nilitembea na wan awake 3 waathirika kwa nyakati Tofauti lakini nimenusurika
nilipomueleza daktari baada ya maongezi ya Muda mrefu alinithibitishia kuwa
kibamia kimenisaidia.
Mh! hii mpya sasa.
 
Back
Top Bottom