Mitindo hatari wakati wa mapenzi kwa wanaume

Mitindo hatari wakati wa mapenzi kwa wanaume

baptist

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2013
Posts
434
Reaction score
279
Watafiti wa Brazil wabaini mtindo huu kwenye Tendo la ndoa ni hatari kwa wanaume. Wanasayansi Nchini Brazil wamefanya utafiti ili kubaini ni mtindo upi kwenye tendo la ndoa ulio hatari zaidi kwa mwanaume.

Kwa mujibu wa Utafiti huo, mtindo ambao mwanamke anakuwa juu ya mwanaume ndio hatari zaidi na huwa na risk kubwa zaidi ya kusababisha hata kuvunjika kwa uume (penile fracture).

Wanasayansi hao wanasema: Pindi mwanamke anapokuwa juu, mara zote hucontrol movement na uzito wote wa mwili wake ukitua kwenye uume uliosimama na kushindwa kuzuia pale uume unapokuwa umeingia vibaya kwasababu madhara huwa ni madogo kwa mwanamke bila maumivu lakini ni mabaya kwa mwanaume.

"Pindi mwanaume anapokuwa akicontrol movement, ana nafasi kubwa ya kuzuia kutokana na uume wake kuwa sehemu mbaya na hali inayopelekea kusikia maumivu na hivyo kupunguza hatari.


source:Bongo 5
 
duh,,, uume uvunjike.....kwani kijiti kile....wafanye upya huo utafiti.....
 
ha ha huyo mtafiti lazima uume wake ulivunjia si bure ha ha wanaume mmesikia?
 
Back
Top Bottom