Nani kampotezea muda mwenzie?

Nani kampotezea muda mwenzie?

Snipes

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2013
Posts
9,212
Reaction score
16,915
Kwa kawaida sisi wanaume ndo tunakawaida ya kuambiwa na wadada tumewapotezea muda sasa mfano utongonzwe na mwanamke umkubalie mule tunda adimu halafu baada ya muda anakuacha atakua amekupotezea muda au mmepotezeana.

Nawasilisha.
 
Hapana. Hakuna relationship ambayo ni wastage of time, because it didnt give you wat you want, it taught you wat you dont want.


Sent from my iPad using JamiiForums app
 
If it didnt give you what you want, it teaches you what you dont want. So for that matter, unakuwa hujapoteza muda. Unakuw umejifunza kitu.


Sent from my iPad using JamiiForums app
 
kwa kawaida sisi wanaume ndo tunakawaida ya kuambiwa na wadada tumewapotezea muda sasa mfano utongonzwe na mwanamke umkubalie mule tunda adimu halafu baada ya muda anakuacha atakua amekuotezea muda au mmepotezeana??

nawasilisha

Inategemea uhusiano wenu ulikuwa wa type gan
One night stand
Temporarily
Undefined
Permanent/wenye malengo
Kama ulikuwa wa serious bac aliyemuacha mwenzie ndio kampotezea muda wake it doesn't matter muachwa ni ke au me.
 
Back
Top Bottom