Mpole mimi
JF-Expert Member
- Nov 29, 2014
- 315
- 104
Habari humu ndani.Ni mategemeo yangu wote wazima na kama kuna mgonjwa Mungu amponye.
Dhumuni la kuanzisha uzi huu ni kwa ajili ya rafiki yangu kipenzi.Ana umri wa miaka 20 anaishi Dar es salaam. Jamii forums imejumuisha watu wengi na tofauti tofauti na imani hatuwezi kukosa msaada hapa.
Kiukweli anaishi maisha magumu sana isitoshe anamtoto mdogo, aliezaa nae hana msaada wote hata familia pia yupo njia panda hata kwa kukaa shida alisoma vizuri na kamaliza elimu ya sekondari mwaka 2011 hana kazi.
Anahitaji msaada wenu kwa anaeweza kumsaidia angalau apate cha kupeleka tumboni na mwanae ambae ana umri wa miez 5.
Kama unaweza kumsaidia kivyovyote vile ni PM tuongee na Mungu atakubaliki.
Asante.