Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,912
Mawasiliano wazi vikiwemo vicheko na utani ni mambo ya muhimu sana katika mapenzi. Na utani mara nyingi huishia katika vicheko jambo ambalo ni jema si kiafya tu bali pia katika uhai na afya ya mapenzi.
Siyo tu kila wakati watu mko serious. Huwa nafurahi sana nikiona wapenzi wakitaniana au kucheza michezo ya kitoto - mara hao wakimbizane, mara mbaba anamdabua mama kikofi cha tako, mara hivi, mara.
Hii screenshot nimeiona Whatsapp nikafurahishwa nayo. Ni wazi wapenzi hawa wanapenda sana matani na napenda kuamini kuwa penzi lao hawa litakuwa limejaa vicheko tele.
Tufurahie kampani ya wapenzi wetu, tutaniane, tufurahi, tucheke. Maisha yenyewe mafupi.