sirluta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2012
- 6,324
- 2,494
Salaam wana MMU.
Ni jambo nimeliona tujadiliane ili kama kuna sehemu wazazi huwa tunakosea, tujisahihishe.Watoto wawili wa kiume ana umri wa miaka mitano na wa kike miaka minne walikuwa wanatania hadi yule wa kike akaenda kushitaki kwa mama yake.
Wa kike anamwambia wa kiume ''una wapenzi kumi unafanya nao tabia mbaya mbaya'' na wa kiume anamwambia wa kike ''una wapenzi watatu unafanya nao tabia mbaya''
Wakike alienda kushtaki maana yule wa kiume alimwambia yule wa kike njoo tufanye tabia mbaya! Very true story, inasikitisha! Wazazi ni wapi tunakosea?